Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda.
Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa kweli kwa nchi yake.
Paul Makonda ndiye aliyewataja wauza madawa ya kulevya na kusababisha madawa hayo pamoja na mateja mtaani kuisha kabisa.