Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Ni ile ile!

Waseme tu huenda wanahofia Mwendazeke kuwa implicated kwenye kesi za Bashite and nothing else.

Mbio za Mama ni za sakafuni tu, soon atakuwa mpole unless awe tayari vigogo wengi kuwajibika kitu ambacho kamwe hatoweza.

Na pia inawezekana lengo hapa ni kumuokoa Diamond katika kipindi hiki cha tuzo za BET kwani anahusishwa na Makonda.
Makonda bado yupo mjini
 
Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda.

Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa kweli kwa nchi yake.

Paul Makonda ndiye aliyewataja wauza madawa ya kulevya na kusababisha madawa hayo pamoja na mateja mtaani kuisha kabisa.

MBONA HILO LINAJULIKANA?
 
Ni ile ile!

Waseme tu huenda wanahofia Mwendazeke kuwa implicated kwenye kesi za Bashite and nothing else.

Mbio za Mama ni za sakafuni tu, soon atakuwa mpole unless awe tayari vigogo wengi kuwajibika kitu ambacho kamwe hatoweza.

Na pia inawezekana lengo hapa ni kumuokoa Diamond katika kipindi hiki cha tuzo za BET kwani anahusishwa na Makonda.
Siku yake inakuja najua kwanini saa hizi wanamuogopa maana wakimgusa kuna chain ya watu iko nyuma yataibuka mengi.

Ila file lake litakuja kuibuliwa tu siku za usoni.

Huyu ni mhalifu aliye wazi na aliyoyafanya yanajulikana ila hao wanaomkingia kifua hawatokuwepo soon atapata haki yake.
 
Back
Top Bottom