Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Nimekuuliza, “Nini definition yako ya neno kuondoka?”
Kuonda bila shinikizo bila ushawishi bila kupewa hongo ni tofauti na kuondoka mwenyewe kwa moyo wako hivyo tafasri ya kuondoka haipo kwa Dr Slaa lakini endapo unataka kuondoka wewe binafsi kwako ama popote ni tofauti na ondoka ya Dr slaa ambayo ni ondoka ya magumashi, kuondoka kwake hakufai tusipoteze mda kufafanua nini maana ya kuondoka wakati Dr slaa hakuondoka bali alitoroshwa kwenda Canada
 
Nimekuuliza, “Nini definition yako ya neno kuondoka?”
Komaa na mada je? ni sahihi Bashite kuendelea kutetewa na Takukuru pasipo kumhoji wala kumfanyia uchaguzi wa kiina na uwazi? au na wewe unatetea maovu manyanyaso uonevu wa Bashite kwa watanzania wengi
 
Komaa na mada je? ni sahihi Bashite kuendelea kutetewa na Takukuru pasipo kumhoji wala kumfanyia uchaguzi wa kiina na uwazi? au na wewe unatetea maovu manyanyaso uonevu wa Bashite kwa watanzania wengi
Bashite alikuibia shs ngapi
 
Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda.

Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa kweli kwa nchi yake.

Paul Makonda ndiye aliyewataja wauza madawa ya kulevya na kusababisha madawa hayo pamoja na mateja mtaani kuisha kabisa.

Natamani niseme kwa jina la JMT, juu ya uhuru wa mitandaoni, sasa basi.

Wizi wa namna hii, UKEMEWE tena kwa nguvu. Ikimpendeza Raisat Samia afanye maamuzi magumu.

Hata kama ni kumwajibisha Bashungwa na Katibu Mkuu wake. Walaghai wanaibuka na kila uongo wa habari ili tusome uongo, lakini wako wameongoza dola mifukoni. Waziri wa shetia haoni hilo.

Umakonda una mapungufu yake, lakini una pia MAZURI YAKE. Unafikiri mateja Makonda asingethubutu, Leo vijana wangekuaje?

China hii Leo inayompiku mmarikani kwa kila hali, haikuwa na mchezo upande wa Malezi ya utu wa watu wao. Tambua kwamba Vyombo vya habari ndiyo SHULE ya WATU WAKO Samia Mama yetu Mpendwa kwa kuwajengea fikra, mtazamo, utambuzi, muelekeo, ilimu, uoni, ubunifu, marejeo, mabadiliko n.k.

Hili sio jambo LA kuchekeana, ikiwa tu wa kweli wa nia, maneno na matendo.

MATENDO, MATENDO Mama yetu Raisat Samia, ndiyo Mtangulizi wako hayati Magufuli alizamia. Hivi kweli, mtu ili auze habari, ana danganya kimtandaoni, je huyo si mwizi? Mh Bashungwa, unashindwa kuwalundika magereza wezi hawa ambao ushahidi uko live. Inahitaji kweli hadi Ikulu ijitetee! Naibu Spika mko wapi? Hii ni nchi yetu. Muda wakukaa kwenye nafasi za uongozi kama ajira, sasa basi. Tunautaka uzalendo. Tunataka nchi yetu taifa la USWAHILI linyanyuke kiutambuzi, TUJITAMBUE. Itawezekanaje tujitambue ikiwa Vyombo vya habari ni mamluki majambazi, maharamia mabaradhuli makuu?

Makamu wa Rais yupo anangojea kutumwa na Rais. No!

Tunataka tuwe kama Korea, japani, dubai, Singapore n.k; hii ni kazi yako mpendwa MAKAMU. UJASUSI MZURI, UIBE UTAALAMU, TEKELINALOKUJIA UIBE, TAIFA LA USWAHILI LIKWAMUKE. Unayo majeshi Tisa. Ya nini hayo kama sio miradi ya wazungu? JWTZ limekuwa jeshi LA ulinzi kwa miaka mingi tu. Makamu wa Rais! Tuambie linalinda nini, ili hali hata kijiti cha kuchokonolea nyama kwenye meno tunaagiza kutokana nje?

Enyi wateuliwa na Rais, huko kwenye majukwaa kulonga hili au kile waachieni makatibu tarafa na madiwani. Ofisi zenu ni kubwa, fanyeni makubwa. Mitandaoni, makonda makonda! Kulikoni? Hata mimi simpendi Makonda. Kwani mimi ni mkewe?

Ila enyi WATEULIWA, igeni UMAKONDA (matendo, acheni umbea [UTENDAJI]). Magufuli kama mtu, mimi simtaki, simtaki kabisa. Mimi sikuwa make wake, wala mwanaye. LAKINI "UMAGUFULI" UTAENDELEA KUWA PAMBO LA MOYO WANGU!

Raisat Samia, maneno haya siyasemi tu, ila kwa uchungu mkubwa. Katika kila taifa, ili JAMII itoke katika hali duni kufikia hali yenye nafuu katika huu ulimwengu wa manyang'au -UMAGHARIBI, inahitaji UMAGUFULI {UMAO TSE TUNG}, UMAKONDA [UTENG SHIO PING]. U u sote hizo, vichwa kukatwa ndio kawaida. Hii ni KWA sababu u u zote hizo ni msemeno. Ukiweka mkono wako kwenye njia ya msemeno, unatarajia nini kama sio kukatwa?

Huu ndio UMAGUFULI unataka sisi Waswahili tuwe na chetu. Ikiwa wewe kwenye mfumo huu ulitaka uendelee na umagharibi ghushi, vichwa vikaanguka; wakulaumiwa ni wewe, nyie au SISI.

KWA NINI SOMO HATULIPATI:

1) Wairaqi walipo jaribu kujinafasi na kuwa na chao, wale wairaq wasioutaka USADAMU, wakatumiwa na maadui. Sadamu akanyongwa hadi kufanya.
Leo Iraq imechakaa.
2) Walibya, Gaddafi wakamuua wenyewe. Leo Walibya wanajuta. Gaddafi alitaka Bara letu "BARA LA WATU" tuwe na fedha yetu, mtandao wetu n.k. HAWAKUMUACHA. Je! Lumumba, Sankara, A. T Balewa wa Nigeria, sina nigeria wanasota hadi Leo. Je! Nyerere? Walianza kumuita Musa Nabii. Baada ya hapo walikuwa wamuite kichaa. Huku ya mbwa kichaa ni mini? Si kuawa? Basi walipopata mchepuko wa kwenda hispitali ulaya, basi ndio hivyo tena!
3) HAYATI MAGUFULI, miezi mitatu haijaisha. Yuko wapi? Magufuli yule ambaye sote kwa utashi wa kila mmoja, tulijitamba naye, KAONDOKA. A' Alituambia tuko vitani. Lakini ni nani alimsikia? Jemedari mkuu wa majeshi ya taifa letu USWAHILI kafa vitani, watu sote KIMYAAAA! Majeshi 9 -sungusungu, mgambo, magereza, JMT, polisi, ffu, jwtz, usalama wa taifa, sote ziiiiiiii. Mama Raisat Samia, watu namna hii ndio tuliokuzunguka. USIWE KAMA SISI!

TAIFA:
Taifa tunakuangalia wewe. Ukituangakia sisi, umekwisha.
1) Nyerere aliangalia juu, akitafuta MUELEKEO, akajenga barabara, mashule, mahosipitalu, vyuo, viwanda, majeshi n.k.
2) Mwinyi na mazuri aliyofanya, alimwangalia Nyerere, akaishia Mtanikumbuka, akasemwa, mkewe ndiye mshauri wake.
3) Mkapa na makubwa aliyofanya aliishia kuwauzia mamluki viwanda na mashirika bila kujipanga.
4) Kikwete na ukweli wake, wachache walinona; wakaishia kumuita dhaifu wale wale alio walinda
4) Magufuli na umagufuli AKAUKWAA MUELEKEO. MUNGU AWEKWE MBELE. Tukaona matunda kwa muda mfupi.
5) Samia, tayari mvua zimekuwa fupi. Ile kauli ya Mungu awe mbele imeachwa; njaa hiyo inakusogelea. Usiseme tu 'kwa jina LA JMT', LA. Bali sema KWA JINA LA "MOLA" WA JMT, KAZI IENDELEE.
Tambua Mama Malkia wa Uingereza ni mkuu wa dini ya taifa lao - uanglikani. Makel ni mkuu wa chama cha kikristo. Na wewe uwe mkuu wa dini ya taifa letu - UNYENYEKEVU:
Misingi hii mitatu ya maisha-
1) UAMIMIFU,
2) HESHIMA na
3) UTII,
Ndiyo dini yetu watu weusi, iliyoletwa na Manabii wa Mungu Nuhu, Ibrahimu, Musa, Yesu/Isa na Muhammad. Q42:13, ya kwamba ikulu isomamishwe bila Kufarakana. Ndio maana Uingereza sana vyama vingi. Lakini yeyote atalayeshinda, ataenda ikulu kusailiwa. Ikulu hatoki mtu pale.

HITIMISHO:
HUU UVHONGANISHI, SOJUI FULANI KAFA, AU KAVHOMWA NDANI, MIMI KAMA RAIA NAAGIZA VYOMBO HUSIKA, WAHALIFU HAO WAKAMATWE, NA KUTIWA HATIANI NA CHOMBO HUSIKA, SIO KUWAPELEKA MAHAKAMANI LA!

TAIFA LETU USWAHILI (ZANZIBAR, SHELISHELI, COMORO, KENYA, SUDANI KUSINI, UGANDA, RUANDA, BURUNDI, ZAIRE n.k) TUKO KWENYE TRANSITION. HAPA NO WAY, NI USAMIA TU -(kaanza na malezi).
 
Kukataa ya Lema ambayo wengi wanayajua lakini kwa kuwa siyo wanasiasa hawana pa kusemea ndiyo yakufanye wewe ujione una Akili? Kutetea uonevu uovu mateso manyanyaso ya makonda Bashite ndiyo kukosa Akili hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atapenda kuona Bashite anakuwa huru pasipo uchunguzi mkubwa makini wa haki, kumtangaza Bashite kuwa ni malaika msafi ni kuichafua taasisi hiyo ya umma
Wewe ndo unaakili timamu? Peleka ushahidi basi akamatwe.Umebaki kuropoka tu humu,umejaa wivu na ushirikina tu.
 
Screenshot_20210610-085017.jpg
 
Mtume Paul sio bashite,mpiga push up kiburi kaburi.
Madaraka hayamfai mtu mshamba atalewa
Baraka na msamaha wa MUNGU hauchagui mtu, akiamua ameamua anakupa tu, ndio maana Ata Paulo alikuwa muuaji mkubwa lakini MUNGU alimpa baraka zake, hivyo usilazimishe MUNGU afanye utakacho
 
Baraka na msamaha wa MUNGU hauchagui mtu, akiamua ameamua anakupa tu, ndio maana Ata Paulo alikuwa muuaji mkubwa lakini MUNGU alimpa baraka zake, hivyo usilazimishe MUNGU afanye utakacho
Paulo alilipia makosa yake kwa kufanya Kazi ya Mungu kuliko mitume wote,ndie aliyefungua makanisa mengi Sana ulimwenguni.
At the end alikuja nae kuuwawa Ili kutimiza ile andiko la auwae kwa upanga sababu aliuwa Wakristo wengi sana alipokuwa akiitwa sauli.
 
We jamaa ni liongo hakuna mfano, hayo maneno kuwa Makonda ni "kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo" Hamduni ameyasemea wapi?
Nyumbani kwako? Tabia hii ya uongo ni aibu sana kwa mtu mzima, unless uwe huna akili timamu!
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom