Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Takukuru mnamsafishaje mtu bila kimchunguza? mmepata wapi ujasiri wa kusema Bashite ni kijana safi
 
Moshi ushaanza kufumuka tusubiri Moto tu
 
Serikali isipomhukumu basi sawa
Kuna mahakama nyingi ATAHUKUMIWA
Watu binafsi wanaweza kufungua kesi mahakama za ndani au nje zinaweza kumhukumu
Atahukumiwa tu
Time will Tell
 
Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa kweli kwa nchi yake.

We jamaa ni liongo hakuna mfano, hayo maneno kuwa Makonda ni "kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo" Hamduni ameyasemea wapi?
Nyumbani kwako? Tabia hii ya uongo ni aibu sana kwa mtu mzima, unless uwe huna akili timamu!
 
Serikali isipomhukumu basi sawa
Kuna mahakama nyingi ATAHUKUMIWA
Watu binafsi wanaweza kufungua kesi mahakama za ndani au nje zinaweza kumhukumu
Atahukumiwa tu
Time will Tell
Wewe kama mtu binafsi lini unaenda kufungua kesi?
 
Ushauri ukiwa kiongozi boresha maisha ya jela Ili kesho ukienda kukufae.
Bashite angeboresha magereza ya dar asingepata tabu akiwa huko ukifika wakati.
 
Ushauri ukiwa kiongozi boresha maisha ya jela Ili kesho ukienda kukufae.
Bashite angeboresha magereza ya dar asingepata tabu akiwa huko ukifika wakati.
Utakuwa wa kwanza kwenda hiyo jela
 
Aliweka kanuni za asili ukizikiuka ni lzm zikuadhibu
Maandiko hayo hayo ya nasema hakuna aliemsafi, ndio maana wenzako walishindwa kumpiga mawe mwanamke mzinifu, ndio maana kazi hiyo muachie MUNGU hukumu
 
Hayo hayo usema auawe kwa upanga atakufa kwa upanga.
Hayo hayo ya nasema hakuna dhambi isiyo samehewa,ndio maana Paulo aliua wewe lakini mwisho Yesu akampa kazi ya kutangaza neno lake
 
Aliuwa kabla ajawa Mkristo
Ata wahayudi waliona ishara nzito za MUNGU, lakini waliendelea kuabudu masanamu, lakin MUNGU aliendelea kuwapa nafasi mara nyingi zaidi, kwa MUNGU mambo ni mepesi sasa itakuwa huyu Makonda
 
Ata wahayudi waliona ishara nzito za MUNGU, lakini waliendelea kuabudu masanamu, lakin MUNGU aliendelea kuwapa nafasi mara nyingi zaidi, kwa MUNGU mambo ni mepesi sasa itakuwa huyu Makonda
Hata mpiga push alipewa nafasi ya kutubu akashupaza shingo ikiwemo kumlipa veronica france azidi kuwatukana na kuwakashifu viongozi wa dini
 
Hata mpiga push alipewa nafasi ya kutubu akashupaza shingo ikiwemo kumlipa veronica france azidi kuwatukana na kuwakashifu viongozi wa dini
Mpiga Push sio Makonda, halafu hizo ni tuhuma zako
 
Back
Top Bottom