Tetesi: Salumu Mwalimu adaiwa kupewa Kitengo ndani ya CCM

Tetesi: Salumu Mwalimu adaiwa kupewa Kitengo ndani ya CCM

Joined
Jul 18, 2019
Posts
76
Reaction score
304
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.

Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.

CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa

JM
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
Hakina MTU mwenye akili aliyeko CCM .Hakina anayetumia kichwa kufikiri akawa CCM .Anayetumia tumbo kufikiri pekee ndiye aliyeko CCM.Hata Mohamed Atta Singers kuwa njaa Na umalaya wa kisiasa ulionao usingekuwa CCM
 
Mbowe sio Gaidi

IMG_20210817_165902.jpg

IMG_20210908_112316.jpg

IMG_20210906_073833.jpg

IMG_20210910_063312.jpg

IMG_20210808_144343.jpg

IMG_20210815_171548.jpg

IMG_20210808_150359.jpg

IMG_20210908_144346.jpg
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.

Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.

CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa

JM
Halafu utakuta kila siku asubuhi unamuaga mke wako unaenda kazini. Laiti angejua unaning'inizaga poumbou sofani kwenye lounge Lumumba na kujaza tu vyoo vya lumumba.
 
Salum Mwalimu alichukuliwa akitokea Channel Ten kwenda Chadema wakati wakutafuta vijana wenye talent, kama anaamini tayari amepata jina na anaweza kusimama kwenye majukwaa kunadi sera za CCM all the best....wakina Slaa walienda wakaambulia utulivu na salary, akina Nassary wapo wanakula milioni nne kwa mwezi, Mashinji pia yupo.

Akiondoka itasaidia kumsajili yule makamu wa Rais wa ACT kwenye mapambano ya demokrasia na haki,.
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.

Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.

CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa

JM
Acha vijana wale shavu. Wananchi wenyewe wakuwatumikia wako wapi?
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.

Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.

CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa

JM

Nyani wale wale na agenda zile zile:

IMG_20210912_025128_818.jpg

Kwenye agenda hatutoki.

Tuna agenda ya kudumu lakini si marafiki wala maadui.

Habari ndiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom