Tetesi: Salumu Mwalimu adaiwa kupewa Kitengo ndani ya CCM

Tetesi: Salumu Mwalimu adaiwa kupewa Kitengo ndani ya CCM

Kwa mwanasiasa hiyo kutokea inawezekana!

Nakumbukaga kitambo sana nliwahi ambiwa na mzee mmoja wa ki xhosa, alinambia usimuamini/kumuwekea dhamana mwanasiasa

Ova
 
Chadema wengi ni mawakala wa TISS. Wako pale kwa mikakati maalumu.

Wananchi tunapigwa changa la macho huku wao wanaendelea kutafuna keki ya taifa kiulaini nyuma ya pazia.

Hata huyu mbowe huyu na sinema zake za Ugaidi kuna jambo linafanywa hapo. Wanajua wanalolifanya.

Wakiwa jukwaani wanajifanya kufoka mpaka mate yanamwagika kumbe wao na serikali lao moja. Na kusema kweli, wao na serikali ni kitu kimoja.

Vijana tuache kuingilia siasa tusizozijua.
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.

Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.

CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa

JM
Uamuzi ni wake, yule sio mtoto mdogo...ana uhuru
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.

Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.

CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa

JM
[emoji23][emoji23]usishangae ata gwajiboy akachanjwa chanjo ya uviko
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.

Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.

CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa

JM
Khaaa yaan asipewe nafasi serikalini kama wenzie wanavyokula teuz mara udc mara uded ateuliwe kwenye kitengo cha ccm? SIYO KWELI CCM WAPO WAKUTOSHA SANA HAWAJAISHIWA KIASI CHA KUMKARIBISHA MWANACHADEMA NDANI ASEEE!
 
Hakina MTU mwenye akili aliyeko CCM .Hakina anayetumia kichwa kufikiri akawa CCM .Anayetumia tumbo kufikiri pekee ndiye aliyeko CCM.Hata Mohamed Atta Singers kuwa njaa Na umalaya wa kisiasa ulionao usingekuwa CCM
Bakini hapo na nadharia zenu, mkija kushtuka, mtajua hamjui.
 
Wewe umetumikia ccm miaka halafu cheo anapewa Salumu Mwalimu , huoni fedheha ?
Mbona lowasa alipewa cheo na nafasi hamkulalamika bali mlishangilia?
Kwani aliwahi kupigwa mabomu chadema mpaka mkampa nafasi?
 
Back
Top Bottom