ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mno mnoWewe umetumikia ccm miaka halafu cheo anapewa Salumu Mwalimu , huoni fedheha ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mno mnoWewe umetumikia ccm miaka halafu cheo anapewa Salumu Mwalimu , huoni fedheha ?
Hahahaaaa........ Nukuu ya kufungia wiki hii.Wewe umetumikia ccm miaka halafu cheo anapewa Salumu Mwalimu , huoni fedheha ?
Hakuna Cha ajabu,Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.
CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa
JM
Demokrasia ni pamoja na kuhama vyama...Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.
CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa
JM
Safi sana,anawakacha magaidiHakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.
CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa
JM
Chadema wanakufa kwa kupigana na legacy ya magufuli hiyo imesha wacost no way watasimama wamesha anguka mazima sasa hivi siyo CCM VS UPINZANI sasa hivi ni MAGUFULI LEGACY VS MASISADI LEGACY wenye akili watanielewaCDM inatakiwa ibadili mikakati yao,siasa wanazofanya zimepitwa na wakati,hazina tija.....kwa nini hawajifunzi hata hapo Kenya tu?
Chadema wengi ni mawakala wa TISS. Wako pale kwa mikakati maalumu.
Wananchi tunapigwa changa la macho huku wao wanaendelea kutafuna keki ya taifa kiulaini nyuma ya pazia.
Hata huyu mbowe huyu na sinema zake za Ugaidi kuna jambo linafanywa hapo. Wanajua wanalolifanya.
Wakiwa jukwaani wanajifanya kufoka mpaka mate yanamwagika kumbe wao na serikali lao moja. Na kusema kweli, wao na serikali ni kitu kimoja.
Vijana tuache kuingilia siasa tusizozijua.
Sijaelewa kwamba Masoud awe chadema au Chadema waongeze ushirikiano na Act?Salum Mwalimu alichukuliwa akitokea Channel Ten kwenda Chadema wakati wakutafuta vijana wenye talent, kama anaamini tayari amepata jina na anaweza kusimama kwenye majukwaa kunadi sera za CCM all the best....wakina Slaa walienda wakaambulia utulivu na salary, akina Nassary wapo wanakula milioni nne kwa mwezi, Mashinji pia yupo.
Akiondoka itasaidia kumsajili yule makamu wa Rais wa ACT kwenye mapambano ya demokrasia na haki,.
Mbowe Mwalimu mkuu!Mbowe anastahili medani, kijana aliyempa mafunzo ya kisiasa amekua turufu ya CCM.
Huyu mmemzungumzia kwa muda mrefu mno kwa nia ya kutaka kumchonganisha na wenzake kama mlivyofanya kwa Kubenea na Lwakatare. Kama kwenda angeishaenda zamani. Cha kujiuliza ni kwa nini mnakazania kupora watu kutoka vyama vingine badala ya kujenga wa kwenu?Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.
CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa
JM
Na ww acha uwongo wako kama ulivyokarilishwaChadema wengi ni mawakala wa TISS. Wako pale kwa mikakati maalumu.
Wananchi tunapigwa changa la macho huku wao wanaendelea kutafuna keki ya taifa kiulaini nyuma ya pazia.
Hata huyu mbowe huyu na sinema zake za Ugaidi kuna jambo linafanywa hapo. Wanajua wanalolifanya.
Wakiwa jukwaani wanajifanya kufoka mpaka mate yanamwagika kumbe wao na serikali lao moja. Na kusema kweli, wao na serikali ni kitu kimoja.
Vijana tuache kuingilia siasa tusizozijua.
Jinga kabisa wewe, kwa hiyo ccm ndiyo kuna watu wenye akili?Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
Project ya kuiua chadema haiawahi fanikiwaHakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.
CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa
JM
Chama ni mvuto? au itikadi na seraHakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa