Jakamoyo msoga
Member
- Jul 18, 2019
- 76
- 304
Sijawai kuwa CCM na siwezi kuwa sehemu ya MashetaniWewe umetumikia ccm miaka halafu cheo anapewa Salumu Mwalimu , huoni fedheha ?
Ndio maana mnawahonga?Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
Hakina MTU mwenye akili aliyeko CCM .Hakina anayetumia kichwa kufikiri akawa CCM .Anayetumia tumbo kufikiri pekee ndiye aliyeko CCM.Hata Mohamed Atta Singers kuwa njaa Na umalaya wa kisiasa ulionao usingekuwa CCMHakuna mtu mwenye akili timamu anaweza endelea kubaki chadema kwa sasa, chama kimepoteza mvuto kabisa
Halafu utakuta kila siku asubuhi unamuaga mke wako unaenda kazini. Laiti angejua unaning'inizaga poumbou sofani kwenye lounge Lumumba na kujaza tu vyoo vya lumumba.Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.
CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa
JM
Wewe umetumikia ccm miaka halafu cheo anapewa Salumu Mwalimu , huoni fedheha ?
Labda kuunga tozoMmeanza kuunga juhudi
Labda kuunga tozo
Acha vijana wale shavu. Wananchi wenyewe wakuwatumikia wako wapi?Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.
Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu.
CHADEMA wanaachwa Solemba
PM iko wazi sasa
JM
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa.