Tetesi: Salumu Mwalimu adaiwa kupewa Kitengo ndani ya CCM

Hakuna Cha ajabu,
Cheap politicians ni kama Malaya tu,
Akiondoka Aman Kaborou,Dr slaa,Zito,Mdee,Kafulila,Machari,nk.
Wanasiasa wengi wanaangalia maslahi!chakula!!
 
Demokrasia ni pamoja na kuhama vyama...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo wanafahamu .......aina hii ya demokrasia
 
Safi sana,anawakacha magaidi
 
CDM inatakiwa ibadili mikakati yao,siasa wanazofanya zimepitwa na wakati,hazina tija.....kwa nini hawajifunzi hata hapo Kenya tu?
Chadema wanakufa kwa kupigana na legacy ya magufuli hiyo imesha wacost no way watasimama wamesha anguka mazima sasa hivi siyo CCM VS UPINZANI sasa hivi ni MAGUFULI LEGACY VS MASISADI LEGACY wenye akili watanielewa
 

Hapo ni baada ya kushindwa kuiua CHADEMA. Acha makamanda wapewe ulaji kwenye dola.

Nakumbuka pia Lipumba alipojiuza CCM akifikiri kamkomoa Mtatiro na Maalim. Kushtukia Mtatiro katinga ndani kabisa ya CCM kwenyewe na kuukwaa uDC moja kwa moja.

CCM ndio haina mwelekeo kabisa. Baada ya kupoteza mvuto kwa wananchi na kushindwa kuua upinzani kwa vyombo vya dola sasa wanamaliza tozo zetu kununua makada maarufu wa upinzani na kuwapa ukubwa wa bure.

Halafu, wapiga debe wa CCM mmepewa mistari mipya: Kina Mbowe ni TISS; usiamini wanasiasa; wote wanajuana; CCM na CHADEMA ni wale wale. Hapa wanaofanywa mazuzu ni wananchi.
 
Eti wapinzani hawana uwezo wa kuongoza nchi- ajabu kila siku wanasajiliwa kuongoza nchi- ila sio mbaya- kifkra wao bado ni wapinzani- njaa tu ndio inasumbua
 
Sijaelewa kwamba Masoud awe chadema au Chadema waongeze ushirikiano na Act?
 
Huyu mmemzungumzia kwa muda mrefu mno kwa nia ya kutaka kumchonganisha na wenzake kama mlivyofanya kwa Kubenea na Lwakatare. Kama kwenda angeishaenda zamani. Cha kujiuliza ni kwa nini mnakazania kupora watu kutoka vyama vingine badala ya kujenga wa kwenu?

Amandla...
 
Sasa CCM ingejitafakari, inapata faida gani kwenye kuwanunua hawa? Mbona ni michezo ya kijinga? Salum ana impact gani akinunuliwa? Au hao waliokwisha nunulika, wanaimpact gani mpaka sasa? Mbona moto ni mkubwa tu bado?! Wajue kuwa hata wamnunue Lissu na Mbowe kwa pamoja, bado wananchi wataitaka tu katiba mpya, bado watataka mabadiliko kwa yanayoendelea sasa. Wanaacha kuleta maendeleo, wanakimbilia kununua sijui nani na nani [emoji2296]
 
Na ww acha uwongo wako kama ulivyokarilishwa
 
wanasiasa wengi wa kiafrika wanatumikia matumbo yao, wala huitaji kuwa profesa kutambua hili.
 
Project ya kuiua chadema haiawahi fanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…