Tetesi: Salumu Mwalimu adaiwa kupewa Kitengo ndani ya CCM

Aende tu si anataka naye teuzi kama walivyo kuwa akina Lazaro Calist na Malaya wengine wa kisiasa.
 
Huyu jamaa mimi sijawahi kumuamini from the beginning kabisa, Mzanzibari gani ambaye ni mpiganiaji haki ambaye hakutokana na chuo cha kupigania maabadiliko cha Maalim Seif?

Niliwahi jaribu kumfatila nikagundua familia yake almost wote ni CCM's ndipo alipoanza mtilia shaka. hiyo ilikua ni miaka karibu 8 nyuma wakati wa harakati za ukawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…