Hatuwezi kufanya majiribio nchi nzima! Watanzania ni waelewa sana.We unatakaje?
Mwanasiasa maelezo atoayo hasa kwa Salum Mwalimu ni "self explanatory ", Salum Mwalimu ni muungwana hana hila na anaipenda Tanzania. Ana makuzi mazuri hapendi uongo! Bahati mbaya tu kaangukia kwenye mikono ya wenye hila. Ila kwa mapenzi yake kwa nchi yake na watanzania amelazimika kufunua hila za hao walio"mteka nyara" kisiasa. Kijana wa wetu watanzania Salum Mwalimu tumpongeze na kumsaidia kwa kila linalowezekana aweze kudhibiti hila za hao waliomteka " kisiasa" huko huko alipo. Ameanza vizuri sana kwa kufunua nia ovu ya hao wenye hila huko huko alipo. Na tunawatahadharisha hao wenye hila Salum asiguswe!Kama hamjaelewa ulizeni mtaeleweshwa.. Upotoshaji hautawafikisha popote
Neno sera si neno la kilatini kusema kuwa likitafsiriwa na watu mbali mbali wa lugha tofauti linaweza kuwa na maana iliyopotoshwa kutokana na utafsiri huo. Sera ni neno la kiswahili sanifu kabisa. Nawatahadharisha msimguse Salum Mwalimu kwa kuonyesha hila za hao mnaowafuata!!!Unajua maana ya alichosema yaani "Sera"
Acha afe kibudu ,hatusaidii huyo ,ni mzigo kwa taifaMwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi. Amesema Serikali itabaki na jukumu la kutunga Sera tu.
My Take:
Nadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni.
Hatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRC, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
watamtengaNeno sera si neno la kilatini kusema kuwa likitafsiriwa na watu mbali mbali wa lugha tofauti linaweza kuwa na maana iliyopotoshwa kutokana na utafsiri huo. Sera ni neno la kiswahili sanifu kabisa. Nawatahadharisha msimguse Salum Mwalimu kwa kuonyesha hila za hao mnaowafuata!!!
Certificate in journalism atajua kuendesha saccos tuu, nchi asahau.Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi. Amesema Serikali itabaki na jukumu la kutunga Sera tu.
My Take:
Nadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni.
Toka amekuwa rais ni mwananchi gani aliwahi kulimia meno? Muwe mnaelewa misemo siyo kukurupuka Kama Lissu.1. MAGUFULI ALISEMA ANATAKA MATAJIRI WAISHI KAMA MASHETANI.
2MAGUFULI ALISEMA AKIWA RAIS WA TANZANIA WATANZANIA TUTALIMIA MENO.
Utakuwaje kiongozi wa Malaika kama unataka matajiri waishi kama mashetani.
Ubinafsishaji ulishawahi kufanyika kwa viwango vya kifisadi chini ya mwenyekiti wa CCM hayati BMkapa.
Shida ndio hiyo tunadhani siasa ni uongo ! Mtu anakumbia vitambulisho ni Muhimu unashagilia , vitambulisho siyo lazima unashangilia , vitambulisho vinatumika kutoa mikopo unashangilia wakati havina jina,picha wala saini ya mmiliki .Wanasiasa huwa mara nyingi wanaongea vitu katika mtazamo wa kisiasa na sio katika uhalisia Kuna vitu wanavozungumza havina uhalisia kabisa
nenda youtube usitafuniwe kila kitu ,kama hujui kasema hivo basi we akili itakuwa na kamasiLete clip