Samahani, huyu Mtu ni nani?

Samahani, huyu Mtu ni nani?

Status
Not open for further replies.
Tako haimaanishi ushoga mkuu.
Unaweza usiwe na tako na ukawa shoga.
So tusiwe na mitizamo hasi.
Yawezekana kaamua kujitengeneza kuonesha kwa mfano.
Japo mm siwez fanya hivyo. Ila kama kafanya hvyo kuhamasisha wateja wake na wamemwelewa na anapata rizki yake halali ambayo haina laana toka kwa Mwenyezi Mungu na afanye na liwe kubwa zaidi ya hapo

Kilamtu afanye yalio yake apate rizki halali maana hata maneno yetu hayampi kula.
Kuna gym nyingi tu wanawake wanajenga shape kwa aerobics. Tena wengine hawaendi hata gym bali wanafuatilia YouTube. Unamteea bure huyo shoga

Hata marehemu Macheni alipokuwa ndiyo kwanza karudi toka Ulaya alikuwa anatinda nyusi, anapakaa wanja na anavaa mikufu kama mademu. Watu waliposema ni shoga wengine wakamtetea. Ila baada ya David Mataka kumnunulia benz na kuanza kumshika matako live kwenye nyimbo za mduara za Beta Muzika ndiyo watu wakaamini.
 
Trainer mmoja kutoka southafrika nadhani ila mazoezi yake yana focus kuongeza makalio pekee na jinsia ke ndo huwaambii jambo kwa huyu jamaa kinachonishangaza ni mwanaume unafurahia vipi kuwa na mzigo kama huo ? Tena unavaa na yoga pants kabisa duh!
 
Kuna gym nyingi tu wanawake wanajenga shape kwa aerobics. Tena wengine hawaendi hata gym bali wanafuatilia YouTube. Unamteea bure huyo shoga

Hata marehemu Macheni alipokuwa ndiyo kwanza karudi toka Ulaya alikuwa anatinda nyusi, anapakaa wanja na anavaa mikufu kama mademu. Watu waliposema ni shoga wengine wakamtetea. Ila baada ya David Mataka kumnunulia benz na kuanza kumshika matako live kwenye nyimbo za mduara za Beta Muzika ndiyo watu wakaamini.
Iko hivi mkuu
Kusema jambo usilokuwa na hakika nalo kisa mwonekano ni kumkosea yeye pia Mwenyezi Mungu.

Binafsi sipendi ushoga wala usagaji ila kumhukumu mtu kisa umbile ni hapan.
Anyway tuishie hapa nadhani itakuwa poa zaid
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom