Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili


Jamanii [emoji23]

Tusameheni hatukupenda kuumbwa hivyoo
 
Ngoja nikumbuke vizuri sijui mwanajf gani anapicha zangu aisee maana ni hatariii sana humu

Yule mdada hajakujibu mpaka leo
Eti unafikiria nani anazo picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

 
Mdada nilikuwa na file lako ila kitu kimoja nakustahi tu, nimetokea kukuheshimu halafu hujawahi nikwaza, wewe hili file nalipeleka recycle bin siwezi kukugusa wewe hata kidogo

Daaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona kama hilo file lishaexpire tayri

Kwa niaba tusamehee hata sisi tuna mafile yenu ila tumeyaweka recycle bin
Utatufanya tupewe talaka jamani na unavyojua siku hzi mapenzi yanazima kama umeme πŸ§šπŸ»β€β™€οΈπŸ§šπŸ»β€β™€οΈπŸ€£[emoji1316]🀣
 
Mimi mtu wa watu sina shida na mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…