Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

zote zakee
 
mpe ng'ombe apige kofi ngumi zianze au chora mstari mmoja aruke tuone ambakati chembe kidevu hahahahaha lazima mtu akae
And the drama continues in opposite version.

Safi sana endeleeni kuvuana nguo lakini kaa mkijua kati yenu hakuna mzima.

Sisi Tayari tulishasogeza mabenchi kushuudia mpambano.
 
raha ya kuchomoa betri ni mass destruction in a second, lakini mpambano kushikana sana na ngumi za kivivuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakwambia sasa hivi bora niangalie mpambano toka juzi watu wanachomoa betri.
 
We jamaa una akili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…