Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Sasa kutoka mwanza anafikaje saa tatu usiku Dar Tena kwa Basi!!?? Hapo alitoka kumbwato na msela mwingine alivyofika akaiosha akakupa nawe ule... Utakuta hata mwanza hakai anakaaa Keko magurumbasi
 
Mfukua makaburi mashuhuri 😂😂😂😂😂
 
yeeh!
tunasemaga mbwa kala mbwaa..

wee dada uje tu me siwezi kukuachia buku 7..
 
Yaani siku ujichanganye na huyo baby wako kisha picha zako zije tofauti natunavyo kuchora aisee itabidi uje na maelezo mengi na sanifu.
 
nyie wote hamjakuwa ......, mnaanzaje kuanikana ******* hivi aisee
malizaneni hukohuko sisi hatutaki kujua mmegegedana au mmefirana,
acheni utoto
From now sredi za ******* ni mwendo wa kuporomosha mitusi tu.
 
Jf kama facebook tu siku hizi na siku hizi jf ukiweka uzi wa kuhitaji wazo la kibiashara,ushauri wachangiaji hawafiki hata 10 ila ukiweka tu uzi unaohusiana na umbea, mkuyunge (rungubesh) na mambo ya K wachangiaji wanamiminika utadhani wanalipwa yaani ni shida tupu
sijui ndio kusema siku hizi wachangiaji wa jf ni umri kuanzia 25-
 
Humu ukija na jambo la maana utaishia kubaki na uzi wako ila leta hoja ya kununa papuchi, mara kibamia uone siafu wanavyoshirikiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…