Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Yaani siku ujichanganye na huyo baby wako kisha picha zako zije tofauti natunavyo kuchora aisee itabidi uje na maelezo mengi na sanifu.

Ahahahahah huyo bwana hata sasa humu hajui kinachoendelea hata sijichoshi kumsimuliaga yanampitaga mengi
Na ulivyo na hasira na mimi acha tu
Umenichekesha kuna rafiki yangu huwa anaambiwa atoe maelezo ya kutoshaa

Umenikumbusha sema unataka nikuhonge sh ngapi my
 

Duuh!

Hii dunia aisee!

Sijui mtu unapata wapi confidence ya kutongoza JF??!

Kumbe dada ana sura kavu mama ngozi ya uji!!!!!

Aiseeee!

JF mna vituko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…