Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nimefurahi ameomba msamaha...alizingua Sana ..akajua wote Ni akina Marianah na saint anne
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Bora hukuona [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Halafu wewe si ndiyo ulisema umejipa kazi ya kumbadilisha Lizarazu na kumsaidia kisaikolojia? Umeanza hata kuifanya kweli au kakushinda?
Hajanishinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nipo Kwenye hatua za kuanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hivi kwanini asitokee mtu amchomolee betri na yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana asije akawa ananawa uso tu kumbe yeye mwenyewe wakimuona wananawa uso.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
umejiona mjanja sana.........mpaka ukutane na jini likufire ndio utaacha ujinga wako.....
 
Hahaha hahahahahahaha... nimecheka sana. .. kumbe ukiwa nje ya Jf unapitwa na burudani nyingi kiasi hiki
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]mtoto una maneno wewe ona sasa hapo umeniacha njiapanda
Hivi kwanini asitokee mtu amchomolee betri na yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana asije akawa ananawa uso tu kumbe yeye mwenyewe wakimuona wananawa uso.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna demu mmoja alikuwa jirani yetu walihama akiwa binti mdogo. Nipo zangu field kahama. Kuna rafiki yangu tulikuwa tunachati naye si akaniambia na fulani yupo kahama. Nikaomba namba yake. Nikamtongoza akanikubalia. Baby nyingi. Tukapanga siku ya kukutana naye. Aise nilichoka, stimu zote zilikata mpaka nilishindwa kula. Nilijuta aise na mapenzi yakafa na sijawahi kumtafuta mpaka wa leo hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…