Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Halafu ukute ni Mtu mmoja mwenye ID nane anaandika vitu na kujijibu

Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
Hili tusi limepitia mdomoni, puani au masikioni....? Na kama ni mdomoni ndiyo huohuo unatumia kulia chakula..?
 
Nawasikitikia sana mama zetu, hivi hadi wanawake wenyewe tusilao kubwa ni kiungo kile muhimu cha uzazi!?

Kiungo cha uzazi kipo wapi hapo hebu acha kukurupuka
 
Kumbe wanaume tumetofautiana!
Mimi nilishaweka nadhiri, kama siku nikikutana na mwanamke wa Jf, hasa waanzisha thread na comments za maana nawataka kama pesa!

Mwanamke huyo si tu nitampenda na kutembea naye kama ulivyofanya wewe, nitaenda hatua moja zaidi mbele, na kumuoa kabisa bila kumuangalia sura.

Mwanamke kwangu simpimi urefu na upana kama nguo, kinivutiacho kwa mwanamke maongezi yake na stori zake tu, hasa anayeongea polepole kwa mpangilio, huyo huwa ninamuona ni kama mchawi wa mapenzi, maana siwezi kunasuka ninajielewa.

Hapa ninakushika kasoro wewe moja kwa moja na siyo huyo mwanamke kwa sababu ifuatavyo:
Kumuita mtu kutoka Mwanza kuja Dar maana yake wewe ni host! Kama ulikuwa hauna uwezo, usingejisumbua na kuja kujidhalilisha.

Chakula na malazi na hata hiyo pesa aliyokuomba kwa njia ya kukukopa ulistahili umpatie pa1 na mambo mengine muhimu na mgeagana vzuri bila ya lawama zozote kama hizi.0

Ulishindwa kutembea kwenye matendo ya uanaume, matokeo yake ukaonesha udhaifu mkubwa kama kijana ambaye hajakomaa, mwanamke hakumbiwi.

Kama wewe ni mdhaifu wa masura ya wanawake, kwanini umuite bila kuangaliana kwanza kupitia whatsup ama messenger kabla ya kukutana live?
Hapo bwana mzee umekosea sana.
 
Haha nimejikuta nimecheka hapo ulivyosema "hasa anayeongea polepole kwa mpangilio" maana nimewaza kuna kina sie tunaoongea haraka kama tunarap hadi kuna maneno hayasikiki vizuri
 
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]asante kwa weledi
 
Ujue mtu mzima kuandika uzi na kujibu huo ni upuuzi kiwango cha Grade A
 
Aise
 
Nimekuja mbio baada ya kuona hii picha. .nilidhani Kuna pictures nyingine zime vujishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Naunga mkono hoja, ukizuzuka na avatar zao lazima ile kwako, nasema kwa sauti ya juu "HAKUNA MWANAMKE/MSICHANA HUMU HATA MMOJA ANAYEFANANA AU KUKARIBIANA NA AVATAR YAKE"
Wengi ni wabovu sana
Ndio mana pm unakazana tuonane [emoji1787] ili uje uniseme kama hivi woiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…