Samahani Rais, Unajisikiaje unapokula nyama, ama unapokaa na Watoto na Wajukuu zako?

Terrible Teen

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
1,236
Reaction score
3,544
Mheshimiwa Rais, naomba kuandika kwa ufupi sana. Kutekwa kwa Polepole , Mdude na hata kuuwawa kwa Mzee Kibao kuliacha damu nyingi sana ikimwagika, naomba kukuliza Mheshimiwa mwenye jukumu la kwanza la kulinda uhai wa watu wako, huwa unajisikiaje kula nyama kama chakula huku ukikumbuka wetu wako ambao ulitakiwa kuwalinda wakiwa wametokwa damu ili wewe uendelee kuwa na madaraka uliyo nayo.

Mheshimiwa Rais, wewe ni mama na una wajukuu, umewahi kuhisi mama yake Polepole, watoto wa Mdude, watoto wa Mzee Kibao, Mzazi wa yule kijana mchoraji wa Mbeya na wengine wengi waliopotezwa kwa sababu eti wewe uendelee kuwa Rais, hawa wote wanajiskiaje kila wakiona picha yako.

Mheshimiwa Rais, tafakari sana. Madaraka na vyeo havina maana kama vinapatikana kwa kumwaga damu. Fanyeni Toba, mrudieni Mungu wenu.
 
Hofu ya Mungu inatokana na nini?
Nchi isipotawaliwa na Roho wa Mungu inazama kwenye dimbwi kubwa la umaskini wa roho, mali na hata akili.

Ya
Inatokana na kuijua kweli/ukweli kuwa kumtendea jirani yako ubaya ni dhambi , na hili viongozi wa dini zote hulisema kila siku, maombi tumefanya sana lakini hawatabadilika kisa masilahi
 
Bahati mbaya sana siasa haiko hivyo unavyo Dhani Kila anaye taka kuwa kiongozi au mtu maarufu ni ambitious

Na hakuna ambitious ambaye hayupo Tayari kufanya unyama ili aweze kupata maslahi yake , Ambitious wote they're monsters
 
Usifikiri kila binadamu hapa duniani ana hisia kama ilivyo kwa binadamu wote.
 
SAMIA THE BUTCHER.

Ananuka Damu
Aliingia Madarakani kwa Mtutu wa Bunduki na Mauaji Mazito ya watanganyika.

Mungu huyu kiumbe hastahili kabisa Kuishi.
Nataka umchukue mapema sana.
 
Mheshimiwa Rais, naomba kuandika kwa ufupi sana. Kutekwa kwa Polepole , Mdude na hata kuuwawa kwa Mzee Kibao kuliacha damu nyingi sana ikimwagika, naomba kukuliza Mheshimiwa mwenye jukumu la kwanza la kulinda uhai wa watu wako, huwa unajisikiaje kula nyama kama chakula huku ukikumbuka wetu wako ambao ulitakiwa kuwalinda wakiwa wametokwa damu ili wewe uendelee kuwa na madaraka uliyo nayo.

Mheshimiwa Rais, wewe ni mama na una wajukuu, umewahi kuhisi mama yake Polepole, watoto wa Mdude, watoto wa Mzee Kibao, Mzazi wa yule kijana mchoraji wa Mbeya na wengine wengi waliopotezwa kwa sababu eti wewe uendelee kuwa Rais, hawa wote wanajiskiaje kila wakiona picha yako.

Mheshimiwa Rais, tafakari sana. Madaraka na vyeo havina maana kama vinapatikana kwa kumwaga damu. Fanyeni Toba, mrudieni Mungu wenu.

Atangaze fujo na Mapolisi mwengine lkn mtoa mada anamuongelea Rais yeye ndio ajisikie vibaya!!!

Rais wetu kipenzi chetu kausikaje na mambo ya kukinukisha!!!

kweli mtu akikwambia ww utakuwa Chadema!!! ujue kakutukana pengine Kwasasa ni Chama cha Watoto 🫎🫎🫎
 
nonsense 🐒
 
Hakunaga damu imemwagika bila hatia ikaacha mtu salama, ipo siku watauwana wenyewe.
 
Ficha upumbavu wako wewe mpumbavu
 
Kwasasa sitashangaa kusikia kuna watu!! wamepelekana Mahakamani kisa kuambiwa ww Chadema!!

Chama kimekuwa cha Kitoto
kabisa👈
 
Back
Top Bottom