Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,236
- 3,544
Hofu ya Mungu haitokani na kuombewa,kuua tu mtu kwa yenyewe inatisha,so muuaji kapofushwa na tamaa ya madarakaTuiombee nchi yetu amani ya kweli.
Tuwaombee viongozi wawe na hofu ya Mungu
YaHofu ya Mungu haitokani na kuombewa,kuua tu mtu kwa yenyewe inatisha,so muuaji kapofushwa na tamaa ya madaraka
Inatokana na kuijua kweli/ukweli kuwa kumtendea jirani yako ubaya ni dhambi , na hili viongozi wa dini zote hulisema kila siku, maombi tumefanya sana lakini hawatabadilika kisa masilahiHofu ya Mungu inatokana na nini?
Nchi isipotawaliwa na Roho wa Mungu inazama kwenye dimbwi kubwa la umaskini wa roho, mali na hata akili.
Ya
Mheshimiwa Rais, naomba kuandika kwa ufupi sana. Kutekwa kwa Polepole , Mdude na hata kuuwawa kwa Mzee Kibao kuliacha damu nyingi sana ikimwagika, naomba kukuliza Mheshimiwa mwenye jukumu la kwanza la kulinda uhai wa watu wako, huwa unajisikiaje kula nyama kama chakula huku ukikumbuka wetu wako ambao ulitakiwa kuwalinda wakiwa wametokwa damu ili wewe uendelee kuwa na madaraka uliyo nayo.
Mheshimiwa Rais, wewe ni mama na una wajukuu, umewahi kuhisi mama yake Polepole, watoto wa Mdude, watoto wa Mzee Kibao, Mzazi wa yule kijana mchoraji wa Mbeya na wengine wengi waliopotezwa kwa sababu eti wewe uendelee kuwa Rais, hawa wote wanajiskiaje kila wakiona picha yako.
Mheshimiwa Rais, tafakari sana. Madaraka na vyeo havina maana kama vinapatikana kwa kumwaga damu. Fanyeni Toba, mrudieni Mungu wenu.
nonsense 🐒Mheshimiwa Rais, naomba kuandika kwa ufupi sana. Kutekwa kwa Polepole , Mdude na hata kuuwawa kwa Mzee Kibao kuliacha damu nyingi sana ikimwagika, naomba kukuliza Mheshimiwa mwenye jukumu la kwanza la kulinda uhai wa watu wako, huwa unajisikiaje kula nyama kama chakula huku ukikumbuka wetu wako ambao ulitakiwa kuwalinda wakiwa wametokwa damu ili wewe uendelee kuwa na madaraka uliyo nayo.
Mheshimiwa Rais, wewe ni mama na una wajukuu, umewahi kuhisi mama yake Polepole, watoto wa Mdude, watoto wa Mzee Kibao, Mzazi wa yule kijana mchoraji wa Mbeya na wengine wengi waliopotezwa kwa sababu eti wewe uendelee kuwa Rais, hawa wote wanajiskiaje kila wakiona picha yako.
Mheshimiwa Rais, tafakari sana. Madaraka na vyeo havina maana kama vinapatikana kwa kumwaga damu. Fanyeni Toba, mrudieni Mungu wenu.
Ficha upumbavu wako wewe mpumbavuAtangaze fujo na Mapolisi mwengine lkn mtoa mada anamuongelea Rais yeye ndio ajisikie vibaya!!!
Rais wetu kipenzi chetu kausikaje na mambo ya kukinukisha!!!
kweli mtu akikwambia ww utakuwa Chadema!!! ujue kakutukana pengine Kwasasa ni Chama cha Watoto 🫎🫎🫎
Bahati mbaya sana siasa haiko hivyo unavyo Dhani Kila anaye taka kuwa kiongozi au mtu maarufu ni ambitiousHakunaga damu imemwagika bila hatia ikaacha mtu salama, ipo siku watauwana wenyewe.