ODM yuko kitandani, anataka kumlala binti flani hivi wa JF. Tatizo binti mwenyewe hata hajui hii bahati inayomtemmbelea.
Kulalwa na babu, ni bahati!
hapo red:kivipi dear?au ki.............
sichukii hisia zako,lakini nakuchukia ww na mawazo mgando uliyonayo,huna mapenzi ya dhati,huna hofu ya Mungu,magonjwa,kifo,yani huna tofauti na wanaojilipua mabomu,nadhani na ww ni mmoja wa wale wafuasi wa uncle Osama,unatudhalilisha wanawake wenzio/dada zako/mama zako,najua ur under 18 :A S-baby::A S-baby::A S-baby:lakini washwahili husema samaki mkunje..........,ww umeshindikanika,mtu gani unaelekezwa huskii?eti mara moja,alafu?eti ujiridhishe matamanio kesho utatamani Tigo,kesho kutwa maskioni ,puani mpaka sijui wapi!Kwann lakini?Mbona una pepo mbaya sana?mdogo wangu ebu kaa chini jiangalie kwenye kioo jiulize unamapungufu yapi,jione Mungu alivyokuumba kwa sura na mfano wake,jione mema yote aliyokupa na madhambi yote uliyofanya lakini yy ni mwingi wa uruma na upendo na anakusamehe kila siku za maisha yako,ebu jaribu kumwambia jinsi pepo wa ngono anavyokuandana,vuta sura ya yule mmasai wako alivyoumba kwa upekee,jaribu kuona ule weusi wake wa kiafrika unavyongaa na kupendeza,jaribu kuona yale meno yake yalivyopangana na kung'aa,jaribu kuona ule urefu wake kama wa twiga,alafu angalia yale manjonjo yakle mkiwa kuleeeeeeeeee.............,huoni kama Mungu kakupendelea sana kukupa mtu wa pekee na akupendae kwa dhati?
Sema nae ukishindwa mdanganye utamuoa hapa utalala nae kiulainii.
mmmmmmmhhhhhh!
Hahahaha...mpwa naogopa kupigwa chini....Hatarrr sana hiyo!
Skulimet,
hapo red/underline/bold inabidi nirudi kwenye Tenzi za Rohoni:-
...
(3) Mkononi sina kitu,Ila msalaba wako
Ni mtupu, nipe nguo; Ni mnyonge nipe nguvu;
Niondolee taka; Nitakase sijafa.
Mwamba wa kale; kwako nitajificha;
Ukipigwa chini unabadilisha upepo unamwambia nilikuwa natania ".........na wewe usitaniwe jamani"
http://ietype.com/w.php?Et66Qc
Pearl,
Sijui ni hiz Bia za jana pale BM-Tegeta, lakini sina uhakika kama KEYBOARD imenusurika au ni TOUCH-SCREEN?
Anyways, merytina bana, God knows!
keyboard imepona sema roho inauma yani napata picha ndo mwanangu huyu kanitambulisha mchumba siku ya siku anakutwa gesti na mtu mwingine thats y sometimes watu husema wamama tunahusika na mapungufu ya watoto wetu,kesho kesho kutwa atakuwa mama huyu unadhani atashauri nn watoto wake?they say some things are beta said if nothing is said at all!
Hahahaha...mpwa hapo si ntakuwa sijaitendea haki baiolojia yangu?
Great thinking,bravo!Ukimwi ndiyo maana unatumaliza Waafrika!!
Ukiachilia mbali wengi wa wanaompinga mleta mada, yaani hamna hata mmoja kati ya wachache wanaoonekana kuwa-liberal na kumuunga mkono mdada huyu wanaomshauri afanye ngono salama katika kutimiza hayo matamanio yake. Basi, mimi kama mmoja wa wachache wanao okay tamanio lako nasema - enenda, kapate huyo mzungu, lakini kumbuka kufanya ngono salama ili kujilinda wewe na yule umpendaye.
If anything, mimi nadhani hapa linaloonekana ni jinsi gani wabongo tulivyo wanafiki. Oooh usifanye hivi, usifanye vile... what about her needs! Yes, her needs and not wants (since a convergence between needs and wants exists)! Mojawapo likiwa hilo la kutamani kulala na mzungu kabla hajaolewa. Maana kashasema anampenda huyo Mmasai wake, lakini angependa tu kulala na mzungu kabla hajaingia kwenye pingu ya maisha. This sounds so wrong and undignified, especially when told in public yet so prevalent and unhindered. Yeah right, com'on people, let's face it, how many times this happens katika jamii yetu??!
Merytina, this might sound absolutely bonkers, but mimi nakushauri uongee tu na huyo Mmasai wako... Jaribu kuwa na maongezi naye ya faragha katika mwelekeo wa kumdadisi vilevile yale yaliyo matamanio yake, iwapo kama naye anayo upate kujua, ni yapi, lini, wapi na kwa yupi. Uwezekano kwamba Mmasai wako naye atakuwa anatamani kudinya watu wasio asili yake waweza kuwa mkubwa tu. If the two of you talk about this and agree, it could be possible kuwa mnakubaliana kufanya jambo hili kwa usalama zaidi kabla ya ndoa yenu na kufungua chapter mpya mkiwa mme-banish completely matamanio ya ajabu. Waliosema dawa ya moto ni moto walilenga mengi ati... maana katika kutokomeza uwepo wa hisia chafu katika relationship, yawezekana kupandikiza hisia hizo mwanzoni mwanzoni yaweza kuwa ni chanjo mbadala.
Kingine Merytina, naona umesisitiza mara kadhaa kuhusu nia yako ya kufanya jambo hili mara moja na kuacha nalo. Cha ajabu wachangiaji wengi wanaonekana kubeza msimamo huu, kwa kudhania kuwa utafanya mara moja na mara baada ya hapo - kujichongea mzinga kabisaa! Katika jambo hili na kulingana na baadhi ya hoja za wachangiaji, kuna jambo kubwa linaonekana miongoni mwetu Wabongo, ambalo ni la kutokuwepo kwa misimamo katika magumu tunayochagua kuyafanya. Ya kwamba, pale mtu unapojisemea kufanya jambo fulani ule msimamo wa kusema nitafanya jambo hilo na kuachana nalo mara baada hatuna. Yaonekana wengi maamuzi kama haya hatuyawezi. Katika hili wengi tunaonekana kuamini katika mapungufu yetu ya kutenda jambo, liwe la dhambi au la thawabu na kuendelea kulitenda jambo hilo pasipo kikomo pale panapohitajika. In short, we show lack of volition.
Where there is a will there is a way! Do it, do it safe. Fool your emotions, live with regrets. Abandon your morals, live with the consequences!!
Big up sana mama,
Mama lazima usimamie malezi ya mtoto hata akiolewa na akiwa na tabia nzuri sifa zinaenda kwa mama na si kwa baba.
hiviiiiii,ile cd yenye wimbo wa TAMAA MBAYA si unayo?ebu mpe kwanza akaikilize.
Ndo maana mimi naogopa kutangaza ndoa hivi hivi unamuhifadhi mtu home alafu vidume vinakumegea kiulainiiii utakosa ngoma hapo?