Ukimwi ndiyo maana unatumaliza Waafrika!!
Ukiachilia mbali wengi wa wanaompinga mleta mada, yaani hamna hata mmoja kati ya wachache wanaoonekana kuwa-liberal na kumuunga mkono mdada huyu wanaomshauri afanye ngono salama katika kutimiza hayo matamanio yake. Basi, mimi kama mmoja wa wachache wanao okay tamanio lako nasema - enenda, kapate huyo mzungu, lakini kumbuka kufanya ngono salama ili kujilinda wewe na yule umpendaye.
If anything, mimi nadhani hapa linaloonekana ni jinsi gani wabongo tulivyo wanafiki. Oooh usifanye hivi, usifanye vile... what about her needs! Yes, her needs and not wants (since a convergence between needs and wants exists)! Mojawapo likiwa hilo la kutamani kulala na mzungu kabla hajaolewa. Maana kashasema anampenda huyo Mmasai wake, lakini angependa tu kulala na mzungu kabla hajaingia kwenye pingu ya maisha. This sounds so wrong and undignified, especially when told in public yet so prevalent and unhindered. Yeah right, com'on people, let's face it, how many times this happens katika jamii yetu??!
Merytina, this might sound absolutely bonkers, but mimi nakushauri uongee tu na huyo Mmasai wako... Jaribu kuwa na maongezi naye ya faragha katika mwelekeo wa kumdadisi vilevile yale yaliyo matamanio yake, iwapo kama naye anayo upate kujua, ni yapi, lini, wapi na kwa yupi. Uwezekano kwamba Mmasai wako naye atakuwa anatamani kudinya watu wasio asili yake waweza kuwa mkubwa tu. If the two of you talk about this and agree, it could be possible kuwa mnakubaliana kufanya jambo hili kwa usalama zaidi kabla ya ndoa yenu na kufungua chapter mpya mkiwa mme-banish completely matamanio ya ajabu. Waliosema dawa ya moto ni moto walilenga mengi ati... maana katika kutokomeza uwepo wa hisia chafu katika relationship, yawezekana kupandikiza hisia hizo mwanzoni mwanzoni yaweza kuwa ni chanjo mbadala.
Kingine Merytina, naona umesisitiza mara kadhaa kuhusu nia yako ya kufanya jambo hili mara moja na kuacha nalo. Cha ajabu wachangiaji wengi wanaonekana kubeza msimamo huu, kwa kudhania kuwa utafanya mara moja na mara baada ya hapo - kujichongea mzinga kabisaa! Katika jambo hili na kulingana na baadhi ya hoja za wachangiaji, kuna jambo kubwa linaonekana miongoni mwetu Wabongo, ambalo ni la kutokuwepo kwa misimamo katika magumu tunayochagua kuyafanya. Ya kwamba, pale mtu unapojisemea kufanya jambo fulani ule msimamo wa kusema nitafanya jambo hilo na kuachana nalo mara baada hatuna. Yaonekana wengi maamuzi kama haya hatuyawezi. Katika hili wengi tunaonekana kuamini katika mapungufu yetu ya kutenda jambo, liwe la dhambi au la thawabu na kuendelea kulitenda jambo hilo pasipo kikomo pale panapohitajika. In short, we show lack of volition.
Where there is a will there is a way! Do it, do it safe. Fool your emotions, live with regrets. Abandon your morals, live with the consequences!!