Unaanza kuchezea sharubu za simba tulia hivyo hivyo kama unayolewa
Ha ha ha ha unaweza ninunulia bila yale mambo si ndio lakini??
Kesi nitaku PM hapa watoto watasikia hawajalala
sidhani kama unaridhika hapo kwa mmasai ulipo?ungekuwa unaridhika usingetamani vya nje! wacha kumpotezea muda kaka wa watu kwa kumuweka 'pending' interest zako zote ziko nje.....anyway acha kutushusha wanawake tuonekana sio waaminifu.
Hahahaha hapo sasa, umenifurahishaje nimecheka mpaka basi lol hajui huyu!
Pearl hapa hatujuani kwa sura kwa hiyo sina haja ya kusema uongo.
Hapa JF nawekaga mawazo ambayo naogopa kumwambia yeyote anayenifaham so hizi ni hisia zangu za kweli
Hapo race zingine siwataki naturally so siwezi kabisa
Only ' mzungu once' and i never break the rules nijiridhishe tu matamanio yangu
No at allHalafu mtu unadanganyika una mke sijui girl friend.....full wizi huu
Matamanio yasipokwisha. Ukanogewa itakuwaje?!!!!!!!!!!!!!!!!!
No at all
Huwezi kuamini namheshim sana bf wangu
ukioneshwa na kuambiwa niwapo mbali na kuwa na hisia mchanganiko huwezi amin
100% i will be a good wife to suit any body given hanywi pombe
Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga
mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na from the bottom of my heart nampenda sana.Nipo naye na nataman ndoa naye, nilimchuga kwa uangalifu mkubwa
Kimbembe: ninaham ile mbaya na mzungu only once in my life (naapa naahidi sitoplay na mhindi,mwarabu,mchina,mjapani)
Sikuwahi kuwaza kumsaliti Mmasai ila 'mara mmoja tu' sioni kama itadhuru
(sorry kwa wote watakaoudhika na post hii la hisia zinanizidia)
Dena not like that just say ABC kuhusu hisia zangu (hata kama zimefanana na za Chauro poa tu manake hatufanani)Unaanza kuchezea sharubu za simba tulia hivyo hivyo kama unayolewa
Sijakubali kwa 100% coz nayo ina madhara yake, uta hit na ku run mpaka lini? Faida: hakuna kuumiza wala kuumizwa. Hasara: ukimwi n.k. Inshort mapenzi yanachanganya sana, ukiyafuatilia waweza either kuwehuka or kufa kabisaaaa. Yan bora kuwa sister kama mimi.Naona unakubali kimtindo kuwa hit & run ndo yenyewe au sio switledi?
neverAkija mzungu koko akirusha ndoano tu tayari amesha kumega kilainiiiiiiiiiiii
never
Nataka pure breed mzungu
Sijakubali kwa 100% coz nayo ina madhara yake, uta hit na ku run mpaka lini? Faida: hakuna kuumiza wala kuumizwa. Hasara: ukimwi n.k. Inshort mapenzi yanachanganya sana, ukiyafuatilia waweza either kuwehuka or kufa kabisaaaa. Yan bora kuwa sister kama mimi.
acha matamanio ya hivyo kwa kuwa unata kuzidi mipakaNo at all
Huwezi kuamini namheshim sana bf wangu
ukioneshwa na kuambiwa niwapo mbali na kuwa na hisia mchanganiko huwezi amin
100% i will be a good wife to suit any body given hanywi pombe
kwa nini usitumie fetch,**** and forget kwa vichenchebe utavifaidi sana ila mimi NO (mmasai and only once mzungu)Tupo pamoja mkuu ila mimi napendelea sana hit & run huumii wala huumizwi mnamalizana kila mtu anashika njia yake.
upo tayari kujiexpress wazungu wanakula kote kote hawachagui
kwa nini usitumie fetch,**** and forget kwa vichenchebe utavifaidi sana ila mimi NO (mmasai and only once mzungu)
naridhika sana hujui wamasai wana tai kwenye nanilii.sidhani kama unaridhika hapo kwa mmasai ulipo?ungekuwa unaridhika usingetamani vya nje! wacha kumpotezea muda kaka wa watu kwa kumuweka 'pending' interest zako zote ziko nje.....anyway acha kutushusha wanawake tuonekana sio waaminifu.