Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

Hapo ngoma hukosi ndugu yangu, ila sasa maisha haya mpk lini? Watu tunaogopa kuhifadhiwa home, na nyie mnaogopa kutuhifadhi, sa nani atamfunga paka kengele??

Ha ha ha ha unajua binadamu hatuaminiani katu

Hapa ndo penye kazi lazima utengeneze mazingira ya kumfanya mwenzio akuamini.
 
wamebaki wachache sana wanaoaminiana, yan siku hizi ndoa ni maigizo mwanzo mwisho, inauma hapa tulipofikia mungu na atusamehe. Alijisemea 20% bora kujiweka pembeni kuepusha msongamano.
Ha ha ha ha unajua binadamu hatuaminiani katu

Hapa ndo penye kazi lazima utengeneze mazingira ya kumfanya mwenzio akuamini.
 
Sikutegemea kwa sababu wewe navokufahamu si mtu wa kujiexpress sasa nikashangaa hilo swali


sasa hili litakuletea matatizo manake wajumbe watahoji 'umejuaje'

habari yako binafsi...
 
sasa unataka sisi tukushauli juu ya mwili wako? ni wangapi uliwapa bila kutaka ushauli? unachotakiwa kujua wewe kama mwanamke wa kiafrika, ACHA KASUMBA THAMANI YA MWILI WAKO NI WEWE MWENYEWE
 
Hivi wewe mdada una akili timamu? kwa nini usiende kusimama barabarani ukakamilisha huo UKAHABA WAKO? Kweli ukistaajabu ya MUSA utaona FARAO.

Kwa hiyo huyo mmsai wako nae? awe mume ***** kama ulivyo shetani? Chunga sana wazungu unaowatamani, hakuna kitu kiko ndani yake.

Sorry kama nimekutusi nina hasira na wewe ningekuona ningupa maneno magumu sana, bahati yako!
dear hujaniudhi hata kidogo
Najua hili wazo ni tata kwa baadhi yetu ila kaka zetu wanpenda kwelikweli to do na different races
 
Huyu jamaa anitwa richrad knox picha chini hapo ... atakuja A - Town kutalii mwezi ujao .. kama utamuhitaji ni PM... lakini inabidi unipe cha juu kwa kufanikisha ndoto yako...

fat-man-eating.jpg
duh huyu hapana hawezi
 
Goodmorning Merytina,umeamuaje?
uamuzi wa kutumia ubongo ni kwamba NIACHE
Ila ntakuwa siutendei haki mwili wangu just imagine nimeandamwa na hisia hizi for two years
only 'once' it wont turn down my life
 
sichukii hisia zako,lakini nakuchukia ww na mawazo mgando uliyonayo,huna mapenzi ya dhati,huna hofu ya Mungu,magonjwa,kifo,yani huna tofauti na wanaojilipua mabomu,nadhani na ww ni mmoja wa wale wafuasi wa uncle Osama,unatudhalilisha wanawake wenzio/dada zako/mama zako,najua ur under 18 :A S-baby::A S-baby::A S-baby:lakini washwahili husema samaki mkunje..........,ww umeshindikanika,mtu gani unaelekezwa huskii?eti mara moja,alafu?eti ujiridhishe matamanio kesho utatamani Tigo,kesho kutwa maskioni ,puani mpaka sijui wapi!Kwann lakini?Mbona una pepo mbaya sana?mdogo wangu ebu kaa chini jiangalie kwenye kioo jiulize unamapungufu yapi,jione Mungu alivyokuumba kwa sura na mfano wake,jione mema yote aliyokupa na madhambi yote uliyofanya lakini yy ni mwingi wa huruma na upendo na anakusamehe kila siku za maisha yako,ebu jaribu kumwambia jinsi pepo wa ngono anavyokuandana,vuta sura ya yule mmasai wako alivyoumba kwa upekee,jaribu kuona ule weusi wake wa kiafrika unavyongaa na kupendeza,jaribu kuona yale meno yake yalivyopangana na kung'aa,jaribu kuona ule urefu wake kama wa twiga,alafu angalia yale manjonjo yakle mkiwa kuleeeeeeeeee.............,huoni kama Mungu kakupendelea sana kukupa mtu wa pekee na akupendae kwa dhati?
Nikiisoma hii mara tatu itabidi jioni nipitie zahanati
 
Back
Top Bottom