Samahani wakuu, hii pisi ya Zanzibar imeolewa?

Endelea kula kwa macho watu tunamchakaza kila siku kwa afu3 mbaya zaidi mimi nina viviyuu sasa ukimuoa sijui itakuwaje!
Hahahaaaa MKUU unaota, amka hii Mali SIO kama HIZO za bara, hii Mali Hadi Quran inasoma utaichapia wapi
Shepu ya hovyo hiyo
HAMNA MKUU nikiiseti TAKUPA kadi ya harusi uje ucheki WATU walivyo pendelewa kwenye kuumbwa usiwaze walaaa
 
Hapana ameshika DINI HANA SHIDA huwa anasoma Quran HAPO nikimpanga VIZURI namuoa hata KWA buku Tano TU ndo Raha ya uislamu, cha kwanza nataka NIJUE KAMA Kesha olewa au BADO, HAPO tu ndo tajua nifanyeje
Nini kushika!!! Hata kama angekua hiyo dini kaiweka mfukoni.

Mwanamke akianza kujipost shape lake insta unadhani kipi ni motive?

Unaambiwa kila Mwanamke anajiuza, wamepishana bei tu.
 
Mkuu Mkuu filter tu hio na Snapchat, ukimuona live unakimbia
 
Kwahili tackle tu itoshe kusema, ni mali ya wengi haswa wenye mchicha usiokuwa na mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…