Samahani wakuu, hii pisi ya Zanzibar imeolewa?

Samahani wakuu, hii pisi ya Zanzibar imeolewa?

Pesa unazo? Wengi huko Insta wakiwemo hawa ma-celebrity wanajiuza tu na wana madalali wao kabisa wa kuwakuwadia wanaume. Ni pesa yako tu!

Hapo si ajabu utaanziwa milioni 5 au tatu. Kuwadi anachukua moja na lenyewe linabakia na 4, 3 au 2. Usiku mzima ila masharti ni kwamba hakuna cha camera wala nini na kesho yake mkiachana hakuna kujuana tena. Hata mkikutana barabarani hakuna kusalimiana.

Kuna braza mmoja alitenga milioni 9 cash na alipita na hawa ma-celebrity wetu uchwara wengi sana (Uyawo, Nchisa, Ford, Mawe,....you name it!). Mwanamke akishaanza kujibinua mitandaoni huko mara nyingi maana yake ni anajiuza, na wengi huko ni machangudoa tu hata kama hawajipangi barabarani. Huyu kama bado ni mpya basi dau lake litakuwa kubwa mpaka hata milioni 10 lakini baada ya miezi michache tu soko likishuka hata laki tano ukimbananisha anachukua. Mjini shule!

View attachment 3537694View attachment 3537695
KUHUSU kujiuza insta NAKATAA MANA amefunga comment HIVO hakuna njia ya kiwasiliana NAE insta LABDA upashe chukwani dukani kwake
 
Kwahili tackle tu itoshe kusema, ni mali ya wengi haswa wenye mchicha usiokuwa na mawazo
Mkuu nimeishi visiwani LABDA kama huyu ni mbara, ila namkumbuka Zanzibar NILIKUA natongoza mademu high class miaka hiyo, nawadanganya kinoma ila kilichokua kinani shangaza ni idadi KUBWA NILIO kutana NAO WALIKUA mabikra MKUU kabisaa
 
Nasikia anaitwa mamaruu Mariam KWA kweli huyu Binti anaukonga MOYO WANGU, nimechunguza nimeambiwa YUPO ch,,,,,,,,,,,, ana duka la ,,,,,,,,,,,.

Nataka NIJUE KAMA ASHA olewa au BADO nimpose WAKUU, SAMAHAN KWA usumbufu WOWOTE, KUHUSU kimuweka hapa sioni SHIDA kwani HIZI picha SIO za Siri ZIPO insta.

Nategemea KUFUNGA safari kwenda visiwani for her, MUHUNI nine fall in love, Niko tayari KUOA RASMI.

View attachment 3537658View attachment 3537659
Nyege mbaya sana zisikie kwa mwenzio tu
 
Dogo kama una hela nenda kijijini kwenu kasalimie wazazi wako au hata mabibi na mababu au kama hawapo hai kapalilie hata makaburi.

Hayo unayohangaika unapoteza muda wako bure. Hayo mapambo tu. Akivua nguo huyo hyo figure hutaitaman tena.
 
Nasikia anaitwa mamaruu Mariam KWA kweli huyu Binti anaukonga MOYO WANGU, nimechunguza nimeambiwa YUPO ch,,,,,,,,,,,, ana duka la ,,,,,,,,,,,.

Nataka NIJUE KAMA ASHA olewa au BADO nimpose WAKUU, SAMAHAN KWA usumbufu WOWOTE, KUHUSU kimuweka hapa sioni SHIDA kwani HIZI picha SIO za Siri ZIPO insta.

Nategemea KUFUNGA safari kwenda visiwani for her, MUHUNI nine fall in love, Niko tayari KUOA RASMI.

View attachment 3537658View attachment 3537659
View attachment 3537660

..
 
Back
Top Bottom