Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Habari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.
Ni hivi, kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana, lakini inatokea mwenzangu anataka, sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.
Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano.
Swali langu ni hili, hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenzi ila tumepretend kwamba tumefika?