Samahani wanaume naomba kuwauliza swali

Samahani wanaume naomba kuwauliza swali

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
17,202
Reaction score
28,732
Habari za masiku?

Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.

Ni hivi, kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana, lakini inatokea mwenzangu anataka, sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.

Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano.

Swali langu ni hili, hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenzi ila tumepretend kwamba tumefika?
 
Habari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.
Ni hivi,kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana,lakini inatokea mwenzangu anataka,sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano.
Swali langu ni hili,hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenz ila tumepretend kwamba tumefika?
Ndio.
 
Sasa kama mke wako kabisa anadanganya kuwa ame-cum wakati sio kweli, nitamsaidia vipi?

Hakuna kitu kibaya katika mahusiano kama kuishi fake, be real!
Nimesema kuna muda unakuwa hufeel,mwenzio anauhitaji wa hali ya juu
 
Ke uki-fake kufika kileleni lazima tujue.
Anakuacha tu kwa kuwa anakuwa ameshamaliza yakwake.

Mwanamke aliyefika angani anajulikana kwa mambo mengi tu, hivyo usijidanganye kuwa huwa hajui labda kama si mjanja.
 
Yaan kama wengi mwatambua,nimeshajua kuwa huwa anatambua
 
Habari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.
Ni hivi,kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana,lakini inatokea mwenzangu anataka,sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano.
Swali langu ni hili,hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenz ila tumepretend kwamba tumefika?
Ufike usifike shauri yako, kuna muda nakupa hela huko rohoni naumia ila kwakuwa inahitajika sisi tuwahudumie nalazimika kutoa tu, pia kuna siku wewe unahitaji kunjunjwa mimi sitaki ila nakunjunja hivyohivyo kukuridhisha
 
Back
Top Bottom