Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

asante kwa kunipa moyo kaka,hali ni mbaya sana washamba wa kolomije wame https://jamii.app/JFUserGuide up vibaya sana,nchi imebakwa kinyume na maumbile ni hatari mno
 
Mkuu hawa jodari mbona huwa wanauzwa hapa kwa Bei poa tu hapa mjini
 
Ni tofauti na jodari wa kawaida?
 
Ni tofauti na jodari wa kawaida?
Nguru jodari na jodari ni kitu kimoja na ni jamii ya Tuna fish,lakin hao wanaozungumziwa(Atlantic tuna) wao tofauti kidogo,kwanza wanakuwa wakubwa sana.Tanzania kuna big eye tuna,yellow fin tuna na skipjack tuna hawa sio bei sana lakin bado wan soko hasa hao 2 wa mwanzo.
Tatizo bongo wavuvo wa kigeni ndo wanafaidika sababu wana modern equipments hivo wanaenda mbali tofauti na wavuvi wetu pia serikali haijaweka control vizuri kwenye hili.wenzetu wanaweka mpaka 'quotas' kuwa unavua tu kiwango ulichopangiwa na ukubwa wa samaki uliopangiwa inasaidia kupunguza overfishing.
 
‘Sushi King’ pays $3.1 million for most expensive fish in the world
Chief Assignment EditorJanuary 5, 2019 16:39


Japanese ‘Sushi King’ Kiyoshi Kimura, who runs the popular Sushi Zanmai chain, left Tokyo new fish market’s annual New Year’s seafood auction with most expensive fish in the world.
Spending millions in the fish market is a sort of tradition for this fish tycoon, but this time he has outdone himself, setting a new record and splashing a whopping $3.1 million on a giant Bluefin tuna on Saturday.
To land the enormous catch, the self-styled ‘Tuna King’ had to pay the hefty sum of 333.6 million yen ($3.1 million) for the 613-lb Bluefin tuna, which was caught off Japan’s northern prefecture of Aomari.
The fish’s price tag is the equivalent of nearly 165 pounds of pure 24K gold or an in Manhattan, but Kiyoshi Kimura believes it’s worth every cent as he’s eager to serve his clients.

“The tuna looks so tasty and very fresh, but I think I did too much,” Kimura told reporters outside the market later.
“The price was higher than originally thought, but I hope our customers will eat this excellent tuna.”
The previous all-time record was also set by Kimura six years ago, when he paid 155.4 million yen (about $1.8 million) for a 489lb Bluefin tuna. This year, the tycoon took back his crown as the highest bidder at the annual fish market, which he held for seven years in a row, before Yukitaka Yamaguchi, head of wholesaler Yamayuki Group, borrowed it last year.
.
 
Wapo samaki ambao wanaweza kumudu kwani wengi wanatoka kwenye maji matamu na kwenda bahari kuu.
Ila kwa Tuna haiwezekani wao wanaishi kwenye maji ya chumvi tu na wanapatikana sehemu ambazo wanapata mlo wa kutosha

Tuna ni wakubwa sana na wanatembea kwa makundi yaani kama ingewezekana wakaishi kwenye maziwa yetu samaki wengine wangeisha ( ingawa haiwezekani kuishi)
 
Wapi huko wananunua Tuna kwa 70 Million niwe mvuvi!

Mbona uku nlikuwa nanunua kilo 9000 tu
Yaani mpaka nimeshangaa, hivi ni kweli wananunuliwa kwa milioni 70 wakati mimi nikinunua bei kubwa ni 15 elfu tu
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
 
Nafikiri mtoa mada haongelei milion 70 ya kitanzania
Itakuwa milioni 70 ya Zimbabwe
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
 
Mdau anasema soko lipo uko Japan inawezekana kweli na ndio maana wachina na wengineo wanakuja TZ mgodini kuwaiba.
 
Samakaki aina ya Tuna wanaweza kuishi na kuzaliana kwenye maji chunvi ndo maana anavuliwa baharini na kamwe hawawezi kupandikizwa kwenye maji baridi.
 
Unawapandikiza wapi hawa samaki wa maji chumvi
 
Kama anaongeza nguvu za kiume, auzwe hata mil 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…