Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

asante kwa kunipa moyo kaka,hali ni mbaya sana washamba wa kolomije wame https://jamii.app/JFUserGuide up vibaya sana,nchi imebakwa kinyume na maumbile ni hatari mno
Hackney imebadirishwa sana kaka wahuni wote na wajamaica wa miaka ile wamezeeka sasa na hawaonekani kabisa watu wemehamisha,mijengo mingi imevunjwa na nyumba mpya nyingi tu.huwezi amin wazungu wamekuwa wengi sana na baa za nguvu zimefunguliwa,sijui hawa jamaa walikuwa na mpango kupunguza watu weusi.ile Olympic ilibadirisha vitu vingi sana,mpka lines mpya za train sasa zinapita hackney.
Bongo nilikuja mwaka flani asubhi nimepiga kandambiri zangu nikanunue vitumbua nkaambiwa biashara zimefungwa mpaka saa nne,nikajua tu hapafai,biashara ambazo zinaanza asubuhi saa kumi na moja we unataka zianze saa nne,mawazo haribifu sana, lakin ndo ivo tena.Unajua Canada sio pabaya kwa sasa,ukipata mchongo wa huko,angaika nao mpaka kieleweke fursa bado zipo sana,hasa kwa mtu kama wewe ambae una experience ya maisha ya nje.
 
Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.

Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.

View attachment 1142659
Tuna ama Jodari
Mkuu hawa jodari mbona huwa wanauzwa hapa kwa Bei poa tu hapa mjini
 
Tuna ni salt water fish, hawezi kupandikizwa ziwani.Huyu samaki bongo yupo watu wa pwani ya Dar wanamjua kama 'nguru jodari'.Siku hizi kuwaona ni nadra sana labda zanzibar watakuwa wapo.
Nahis kuna watu wanajua soko la huyu samaki na wamelikamata kinyemere na wanapiga pesa kichizi,bongo ndo ilivo ukijua wewe unawaficha wenzako unafaidika peke ako,anyway ndo maisha tena.
Japan ndo soko kubwa la huyu samaki,wanaliwa wabichi kwenye sushi(chakula chao),pia ulaya na America wana soko sana.
Kuna aina nyingi ya tuna na bei utofautiana sana,Aina ya ghali ni 'atlantic tuna' kuna wakati tajiri wa japan alilipa dollar za kimerican $3.1 million kwa Atlantic tuna mwenye uzito wa 278kg.
Ulaya wao wanachukua Africa na Sri lanka, america wao wanao pia wameshila soka la mauritania,hii sehemu ina samaki sana kwa west africa. View attachment 1142705
Ni tofauti na jodari wa kawaida?
 
Ni tofauti na jodari wa kawaida?
Nguru jodari na jodari ni kitu kimoja na ni jamii ya Tuna fish,lakin hao wanaozungumziwa(Atlantic tuna) wao tofauti kidogo,kwanza wanakuwa wakubwa sana.Tanzania kuna big eye tuna,yellow fin tuna na skipjack tuna hawa sio bei sana lakin bado wan soko hasa hao 2 wa mwanzo.
Tatizo bongo wavuvo wa kigeni ndo wanafaidika sababu wana modern equipments hivo wanaenda mbali tofauti na wavuvi wetu pia serikali haijaweka control vizuri kwenye hili.wenzetu wanaweka mpaka 'quotas' kuwa unavua tu kiwango ulichopangiwa na ukubwa wa samaki uliopangiwa inasaidia kupunguza overfishing.
 
‘Sushi King’ pays $3.1 million for most expensive fish in the world
, ‘Sushi King’ pays .1 million for most expensive fish in the world, Buzz travel | eTurboNews |Travel News Chief Assignment EditorJanuary 5, 2019 16:39
, ‘Sushi King’ pays .1 million for most expensive fish in the world, Buzz travel | eTurboNews |Travel News


Japanese ‘Sushi King’ Kiyoshi Kimura, who runs the popular Sushi Zanmai chain, left Tokyo new fish market’s annual New Year’s seafood auction with most expensive fish in the world.
Spending millions in the fish market is a sort of tradition for this fish tycoon, but this time he has outdone himself, setting a new record and splashing a whopping $3.1 million on a giant Bluefin tuna on Saturday.
To land the enormous catch, the self-styled ‘Tuna King’ had to pay the hefty sum of 333.6 million yen ($3.1 million) for the 613-lb Bluefin tuna, which was caught off Japan’s northern prefecture of Aomari.
The fish’s price tag is the equivalent of nearly 165 pounds of pure 24K gold or an in Manhattan, but Kiyoshi Kimura believes it’s worth every cent as he’s eager to serve his clients.

“The tuna looks so tasty and very fresh, but I think I did too much,” Kimura told reporters outside the market later.
“The price was higher than originally thought, but I hope our customers will eat this excellent tuna.”
The previous all-time record was also set by Kimura six years ago, when he paid 155.4 million yen (about $1.8 million) for a 489lb Bluefin tuna. This year, the tycoon took back his crown as the highest bidder at the annual fish market, which he held for seven years in a row, before Yukitaka Yamaguchi, head of wholesaler Yamayuki Group, borrowed it last year.
.
 
Wapo samaki ambao wanaweza kumudu kwani wengi wanatoka kwenye maji matamu na kwenda bahari kuu.
Ila kwa Tuna haiwezekani wao wanaishi kwenye maji ya chumvi tu na wanapatikana sehemu ambazo wanapata mlo wa kutosha

Tuna ni wakubwa sana na wanatembea kwa makundi yaani kama ingewezekana wakaishi kwenye maziwa yetu samaki wengine wangeisha ( ingawa haiwezekani kuishi)
 
Wapi huko wananunua Tuna kwa 70 Million niwe mvuvi!

Mbona uku nlikuwa nanunua kilo 9000 tu
Yaani mpaka nimeshangaa, hivi ni kweli wananunuliwa kwa milioni 70 wakati mimi nikinunua bei kubwa ni 15 elfu tu
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
 
Nafikiri mtoa mada haongelei milion 70 ya kitanzania
Itakuwa milioni 70 ya Zimbabwe
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
 
Yaani mpaka nimeshangaa, hivi ni kweli wananunuliwa kwa milioni 70 wakati mimi nikinunua bei kubwa ni 15 elfu tu
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
Mdau anasema soko lipo uko Japan inawezekana kweli na ndio maana wachina na wengineo wanakuja TZ mgodini kuwaiba.
 
Samakaki aina ya Tuna wanaweza kuishi na kuzaliana kwenye maji chunvi ndo maana anavuliwa baharini na kamwe hawawezi kupandikizwa kwenye maji baridi.
 
Unawapandikiza wapi hawa samaki wa maji chumvi
Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.

Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.

View attachment 1142659
Tuna ama Jodari
 
Kama anaongeza nguvu za kiume, auzwe hata mil 100
 
Back
Top Bottom