nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
asante kwa kunipa moyo kaka,hali ni mbaya sana washamba wa kolomije wame https://jamii.app/JFUserGuide up vibaya sana,nchi imebakwa kinyume na maumbile ni hatari mno
Hackney imebadirishwa sana kaka wahuni wote na wajamaica wa miaka ile wamezeeka sasa na hawaonekani kabisa watu wemehamisha,mijengo mingi imevunjwa na nyumba mpya nyingi tu.huwezi amin wazungu wamekuwa wengi sana na baa za nguvu zimefunguliwa,sijui hawa jamaa walikuwa na mpango kupunguza watu weusi.ile Olympic ilibadirisha vitu vingi sana,mpka lines mpya za train sasa zinapita hackney.
Bongo nilikuja mwaka flani asubhi nimepiga kandambiri zangu nikanunue vitumbua nkaambiwa biashara zimefungwa mpaka saa nne,nikajua tu hapafai,biashara ambazo zinaanza asubuhi saa kumi na moja we unataka zianze saa nne,mawazo haribifu sana, lakin ndo ivo tena.Unajua Canada sio pabaya kwa sasa,ukipata mchongo wa huko,angaika nao mpaka kieleweke fursa bado zipo sana,hasa kwa mtu kama wewe ambae una experience ya maisha ya nje.