Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

Sio kweli maneno yako.
Njoo hapa feri. TUNA wa kawaida wa kilo 6 mpk 10 bei 50,000 mpk 70,000.
Wakipanda saaana laki 1

Huyo TUNA wa Milion 70 umemuona wapi?

BLUEFIN TUNA ndio wenye Bei za namna hio na Hao Hakuna Indian Ocean na wala hawatumiki kama mboga.

Hao wanatumika kama DAWA ZA CANCER and So on.

Do some digging first before starting a thread.
 
Jamaa kamba nyingi saaana wew.e

Jodari wapo weeeengi saaaana braza... Hakuna iyo bei.
Jamaa amekurupuka tu na kutaja TUNA.
na nikweli kabisa TUNA(JODARI) Bei zao ni za kawaida kabisa.
Weekend mimi hununua hapo Feri mpk 30,000 kwa mmoja.

Wenye bei ni BLUEFIN TUNA.
Hawa wanapatikana Maeneo ya Japan na Far East tu. Na Hutumika kama DAWA ya Saratani na Magonjwa mengine.

Nani Ale kitoeo cha milion 70?
Vijana wa JF wanakula sana Kubeli.
 
Tuna fish kiswahili jodari anaishi maji chumvi tena kwenye kina kirefu ,na tanzania tunao wengi tena tuna huwezi wafuga kutokana na ni moja ya samaki qctive na wanatembea sana ukiwqweka kwenye enclosure watakufa kwa msongo wa fikra
 
Tuna fish anaishi baharini na unafahamu kwanini anauzwa Bei hiyo .bila Shaka hujui samaki huyu huuzwa Bei hiyo kwa sababu analiwa akiwa mbichi fresh na wanamla kwa sababu maji ya chumvi humsaidia tuna asiwe na vijidudu ambao hupatikana kwenye maji baridi .hivyo basi ukimfuga kwenye maji baridi hutamuuza 70m Bali utamuuza 70000 tshs believe me
 
Ni samaki toleo jipya sidhani kama nina viatu vyake, hata mimi namshangaa.
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
 
Ma ukubwa wa tuna hawezi kukaa at an enclosure, they need a bigger space ndio maana tuna wote ni wild sio wakufuga
 
Soma uzi unavyosema. Tunaongelea TUNA.
Sangara mkuubwa buku jero.
Vipi kijana.
Umepiga Mataptap au?
Duu, mimi ndio nimeanzisha huu uzi, na hapo nilikuwa namjibu jamaa kuwa hata sangara hawakuwepo ziwani hapo awali,nila ni wahamiaji
 
Duu, mimi ndio nimeanzisha huu uzi, na hapo nilikuwa namjibu jamaa kuwa hata sangara hawakuwepo ziwani hapo awali,nila ni wahamiaji
Nafahamu kuwa ww ndio umeanzisha uzi.
Sasa vipi uchanganye Sangara na Tuna?
Au weekend imekuwa nzito hapo Pugu kwa mama k
 
Samaki hao wana nini mpaka wauzwe bei hiyo ? Wanatumika kwenye matumizi gani ? Wanapatikana sehemu gani kwa sasa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…