kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Sio kweli maneno yako.Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.
Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.
View attachment 1142659
Tuna ama Jodari
Njoo hapa feri. TUNA wa kawaida wa kilo 6 mpk 10 bei 50,000 mpk 70,000.
Wakipanda saaana laki 1
Huyo TUNA wa Milion 70 umemuona wapi?
BLUEFIN TUNA ndio wenye Bei za namna hio na Hao Hakuna Indian Ocean na wala hawatumiki kama mboga.
Hao wanatumika kama DAWA ZA CANCER and So on.
Do some digging first before starting a thread.