Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

Sijajua kuchuna kukoje, nikishajifunza kupitia kwako nitakupa jibu....
Mwenyewe.

Hivi huyu samaki Tchuna ndiye kawafundisha kina dada kuchuna? Usikute anawachuna samaki wengine baharini
 
mawazo ya ganja. viroba vya chumvi sio? tembeza kidude
 
Kuna kipindi Cha televisheni kule National Geographic kinaitwa Wicked Tuna..kinahusu uvuvi wa Hawa samaki ila hawa wanavuliwa baharini..na wanavuliwa kwa msimu na kwa idadi maalum..ni wakubwa sana na wana stake safi Sana.
Mkuu wala si watamu nyama yao nyeusi. Ukienda Zanzibar wapo kibao. Samaki mtamu na mwenye bei ni redsnapper
 
Kumbe Mjadala wote huu juu yangu,haya. bwana lakini sisi yetu maji chumvi hayo maji baridi huko ziwani tunamwachia Sangara.
 
supu yake ni tamu sana.Supu ya Kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…