Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

Samaki aina ya TUNA anauzwa hadi milioni 70 kwa mmoja. Je, haiwezekani kupanda vifaranga ziwa Victoria?

Tuna ni samaki wa kawaida na anapatikana bahari ya hindi.Kwa kiswahili anaitwa Jodari,Wapo ain mbili kuu hawa Tuna fish.Kuna weusi wakubwa Albacore na kuna wale wenye mkia na mabawa ya njano ambao wanitwa yellow fin Tuna.Japo yapo makundi mengine ila haya mawili ndiyo maarufu,na yote yapo Tanzania.Tuna anaweza kuwa kafupi ila kameshiba na kanaweza kufika kg 50 na kuendelea hasa hawa Albacore
Vituna vidogo ambavyo havikui sana vinaitwa sehewa kwa kiswahili.Nyama ya Tuna ni nyekundu na inatumika sana kwenye mapishi ya kuliwa wabichi.Tuna hatakiwi kuiva sana hata kama atapikwa.Tuna anatumika kwenye vyakula kama Carpaccio na shashimi huwa ni vyakula vibichi.Anatumika sana kwenye mapishi ya kijapan na ni ghali kwa sababu ya kuwa samaki ambao sio wengi.Hata hivyo hadi awe ghali hivyo inategemea amevuliwa kwa utaratibu upi.Ili awe ghali ni lazima nyama yake ibaki kuwa nyekundu.Wavuvi wa huko kwa wenzetu wako well equiped wakimvua tu samaki huyu anawekwa kwenye cooler box ambayo ina barafu hadi watakapo mpeleka kwa mnunuzi siku hiyo hiyo kabla hajaganda..Sisi wavuvi wanakaa hukooo weee hadi jioni samaki ameshabadilika Rangi.Hawezi kuwa na thamani hiyo hata mara moja.
 
aisee acha tu kabla ya vyombo kuingia kwenye dish washing machine kila dakika chef anakuja kukagua kama maji ya ku soak kwenye sink ni ya moto sasa ole wako akute ni ya baridi...dah ila nilkuwa naipenda sababu ya free food ile life ilikuwa tight sana
Duh,noma lakin kwa sasa industry ya catering imebadilika,mambo ya Chef kupiga mikelele ovyo yamepungua mno,sababu ya sheria za 'bullying' zimewabana wengi na vyama vya wafanyakazi vinaangalia sana hii sehemu.
Mi nilikuwa sana lakin kama Chef,hivyo ma waitress unawala sana si unajua tena mnamaliza kazi mnaenda kuzuga pub pombe ikiiwapanda kidogo unabeba mzigo.Lakin kwa sasa nimeamua kuwa konstebo si unajua tena malipo na pension yao nzuri.
 
hahahaha ulikuwa mji gani mkuu?
 
Mi London tu.
dah sijui lini nitarudi huko kuja kutembea nimeishi sana streatham nilikuwa naosha vyombo wimbledon MA potters restaurant chef mkenya anaitwa George siku moja kaniboa analzimisha maji yaongezeke moto wakati naungua tukaanza kuwakiana kwa kiswahili mwenye restaurant anshangaa tu kunifukuza wanashindwa sababu mimi ndo sugu lililokuwa linavumilia,wahispania walikuwa wakija wakipata mshahara wa week siku ya ijumaa wanakimbia
 
Kuna aina mbili tu za samaki wa maji chumvi (baharini) ambao unaweza kuwafunga(kupandikiza) ktk maji baridi.
Nimesahau majina lakini mojawapo ni yule mwenye hasira sana ambae waswahili wamemtungia methali.

Tuna hawazi kuishi na kuzaliana maji baridi kama ziwani.

Unachoweza kufanya ni kuwafuga ktk mabwawa ya maji chumvi pembezoni mwa bahari au kuwafunga ktk bahari yenyewe kwa kutumia miundombinu ya cage fishing.
MKIZI
 
dah sijui lini nitarudi huko kuja kutembea nimeishi sana streatham nilikuwa naosha vyombo wimbledon MA potters restaurant chef mkenya anaitwa George siku moja kaniboa analzimisha maji yaongezeke moto wakati naungua tukaanza kuwakiana kwa kiswahili mwenye restaurant anshangaa tu kunifukuza wanashindwa sababu mimi ndo sugu lililokuwa linavumilia,wahispania walikuwa wakija wakipata mshahara wa week siku ya ijumaa wanakimbia
Streatham mbali kidogo mi nipo mitaa ya Hackney na nilifanya sana mitaa ya Liverpool st na Bank.London pamebadirika sana na hii Brexit yao bas shida tu,lakin tunapambana.
 
Jamani tuna ni jodari kwa kiswahili hata ukienda sasa hivi soko la feri unawakuta. TZ wako wengi sana sema wanapatikana kwenye kina kirefu sana ambako wavuvi wadogo wanashindwa kuwapata wale wakubwa sana
 
Hata ikibidi kumwaga viroba vya chumvi ziwani, itafutwe namna, maana kuna meli za kigeni huwa zinavamia bahari yetu ya hindi bila vibali na kuvua maTuna matani kwa matani na kutoroka nao, wanatuibia matrillioni kila mwaka, sasa dawa ni kuwavua wote na kuwapanda ziwani, tuone nani atakuja kuwaiba mule ziwani
Kwa nini ufanye hivyo wakati bahari tunayo na samaki tunao?
 
Streatham mbali kidogo mi nipo mitaa ya Hackney na nilifanya sana mitaa ya Liverpool st na Bank.London pamebadirika sana na hii Brexit yao bas shida tu,lakin tunapambana.
aisee hackney kwa wahuni huko kina so solid crew kina lisa mafia sijui bado wapo?dah all the best mkuu naona umeamua kukomaa nilijaribu kuhamia canada ikashindikana ila niliporudi bongo wakati wa kikwete mambo yalikuwa poa ila balaa la bashite na baba yake sasa hivi nafikiria niende hat shelisheli kwa kweli,nimeichukia sana hii nchi kwenye awamu hii,ushamba uliopita kiwango umetamalaki kila kona
 
Upo sahihi, miaka ya 2013 nilipataga order kutoka hotel za mjini ilikuwa 8000/ kilo wakati samaki wengine walukuwa 6000
mshaambiwa wametofautiana quality na size huko japan alishawahi kununuliwa blue tuna fish kwa bilion 6.5 za kibongo
 
Kuna kipindi Cha televisheni kule National Geographic kinaitwa Wicked Tuna..kinahusu uvuvi wa Hawa samaki ila hawa wanavuliwa baharini..na wanavuliwa kwa msimu na kwa idadi maalum..ni wakubwa sana na wana stake safi Sana.
Yeah huwa hakinipiti kabisa jamaa wanavua kwa ndoano...Juzi jamaa walifanikiwa kuvua Tunna mwenye uzito wa paund 889...kumtoa kwenye maji walihangaika sanaaa
 
aisee hackney kwa wahuni huko kina so solid crew kina lisa mafia sijui bado wapo?dah all the best mkuu naona umeamua kukomaa nilijaribu kuhamia canada ikashindikana ila niliporudi bongo wakati wa kikwete mambo yalikuwa poa ila balaa la bashite na baba yake sasa hivi nafikiria niende hat shelisheli kwa kweli,nimeichukia sana hii nchi kwenye awamu hii,ushamba uliopita kiwango umetamalaki kila kona
Hackney imebadirishwa sana kaka wahuni wote na wajamaica wa miaka ile wamezeeka sasa na hawaonekani kabisa watu wemehamisha,mijengo mingi imevunjwa na nyumba mpya nyingi tu.huwezi amin wazungu wamekuwa wengi sana na baa za nguvu zimefunguliwa,sijui hawa jamaa walikuwa na mpango kupunguza watu weusi.ile Olympic ilibadirisha vitu vingi sana,mpka lines mpya za train sasa zinapita hackney.
Bongo nilikuja mwaka flani asubhi nimepiga kandambiri zangu nikanunue vitumbua nkaambiwa biashara zimefungwa mpaka saa nne,nikajua tu hapafai,biashara ambazo zinaanza asubuhi saa kumi na moja we unataka zianze saa nne,mawazo haribifu sana, lakin ndo ivo tena.Unajua Canada sio pabaya kwa sasa,ukipata mchongo wa huko,angaika nao mpaka kieleweke fursa bado zipo sana,hasa kwa mtu kama wewe ambae una experience ya maisha ya nje.
 
Back
Top Bottom