Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mm ningeuliza bei then namnunulia muuzaji ale hapo hapo mbele ya macho yangu!!alafu unasema ni watamu duuuh
Samaki huwa siwaelewagi sanaSio waroho
Aisee atakula hata kichwa tu itatoshaAkisema ameshiba utamlazimisha?!
Kuna samaki moja hapo ana meno kubaabaake 😂Nimeshangaa mkisema kuwa kuna King Cobra hapo
😁Mmmmh mhhh hiyo sili aiseeWe kama hao wa katikati wanaosema Cobra! Kuna watu ndo chakula bora
Ushalishwa Nyoka wa baharini maarufu kama Mjongo.Kwenye pita pita nikakutana na samaki hawa, muuzaji anawapatia sifa sana kuwa ni samaki wenye virutubisho haswa protein.
View attachment 3229493
Sijafahamu ni samaki kutoka sehemu gani, ila nilipokula nimepata kuona ni samaki watamu sana, nyama laini na yenye upekee wa tofauti.
Wanaitwa mkunga au mgungaAngalia Vichwa vya hao samaki chunguza kwa makini
Migunga au mikungaAiseee
Kweli wapo kama walivyosema wengi 👆🏽
Wanaitwaje hao wote pichani?
Wamasai zenu nyama yeroooSamaki huwa siwaelewagi sana
Apo utakuwa umemkomesha aache kuvua nyoka badala ya Kambale 😂Yaani mm ningeuliza bei then namnunulia muuzaji ale hapo hapo mbele ya macho yangu!!
Mi siyo Masai bro! Ushindwe na ulegeeeWamasai zenu nyama yerooo
Jina lako tu linaonesha kabisa umeshawala hao samaki vya kutosha.Wanaitwa mkunga au mgunga
China hawaliwi hao?Ushalishwa Nyoka wa baharini maarufu kama Mjongo.
Na wana sumu
China si wehu wanakula hadi PopoChina hawaliwi hao?