Samaki wazuri wa kukaanga

Samaki wazuri wa kukaanga

Kwenye pita pita nikakutana na samaki hawa, muuzaji anawapatia sifa sana kuwa ni samaki wenye virutubisho haswa protein.
View attachment 3229493

Sijafahamu ni samaki kutoka sehemu gani, ila nilipokula nimepata kuona ni samaki watamu sana, nyama laini na yenye upekee wa tofauti.
Ushalishwa Nyoka wa baharini maarufu kama Mjongo.
Na wana sumu
 
Back
Top Bottom