Acha ujinga wewe,nani kakwambia Chamazi ndo wamejaa wanaume wakuda?
Kwa taarifa yako wanaume wa ukweli hapa Dar wapo wilayani Temeke hususani Mbagala na hasa maeneo ya Chamazi.
Wanafiki wapo kwa wingi huko Ilala yote kuanzia mchikichini,boma mpaka sharif shamba. Pia kinondoni yote wanaume wa kule ni vibiriti ngoma na ndo maana panya road waliwatetemesha hadi kufikia hatua eti wanaume zaidi ya 10 kujificha chini ya Vitz na wakatosha.
Wanaume kukazwa -dar
wanaume kupaka kutoboa masikio -dar
wanaume kiepe yai -dar
wanaume wambea, udaku, majungu -dar
wanaume midosho -dar
Hakika Dar imebakiwa na mifano ya wanaume..
gigy aliyathibitisha hayo ktk kipindi cha weekend gossip tv1Huyo mpenda bodaboda na bajaji ambaye Hana hata passport akatae kwenda ulaya?
ataanza kulia kuliaHv mkianza kushtakiwa kwa kuchafua majina ya watu mna hela ya kulipa....?
lady is overrated...sioni uzuri wake...chunga sana wale wanaopata ustaa kwa skendo wapo tayari kufanya chochote ili wawe wanajadiliwa....
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]Nina Hamu Na Mimi Ningekuwa Ndiyo Hicho Kiti Halafu Nakakaliwa Hivyo!
Hamna homa yeyeto. Watu wamechanganikiwa baada mutumbua majipu kuziba mirija ya ulaji.Hivi huko Dar kuna homa gani iliyowakuta wanaume wa huko
huyu akili hana, kwani mwanamke kutongozwa si kitu cha kawaida, anatafuta tu kiki , njaa inamsumbua tuugigy aliyathibitisha hayo ktk kipindi cha weekend gossip tv1
Kaka siku zote ukweli unauma sanaIyo phrase ya "wanaume wa dar es salaam" sucks...inaboa, ishakuwa too much.
CTRA ndio wakina nani hao....?hivi CTRA wanaingiaga humu kweli
Nimesha vaa condom ya kiume binuka basiImebainika kuwa yule msakata kambumbu katika club ya Genk uko ubeligiji Mbwana Ally Samata alimuomba fumu muuza nyago na mjasirimali Gigy Money.
Gigy money amedai kuwa Samata alimtumia e.mail aende ubelgiji ili waspend pamoja na kula bata mpaka bata aseme bata ila gigy money alikataa na kudai et "Samata is not my cup of coffe" yaan samata sio type yake.
Ivyo kaka Samata akachezea za mbavu uku king kiba akiendelea kuchekecha kadri awezavyo mpaka kukinai
Wanakazwa na wanawake? Ongeza ufahamu ukiona mtu anakazwa ujue si mwanaume
BTW hilo lisikuogopeshe, karibu Dar
Hiyo sheria inanikeraaaaaa. Imetunyima hela za MCC.
Na wewe usharudi Dar? Dar inatuharibia wanaume akyanani.Nina Hamu Na Mimi Ningekuwa Ndiyo Hicho Kiti Halafu Nakakaliwa Hivyo!