Samatta hana kiwango Cha kucheza EPL

Pole mkuu huyo lukaku ni mfungaji bora wa national team... huko uingereza ni hii misimu 2 mambo yake hayajaenda sawa but samata n mchezaji wa kawaida tu mwenye bahati hana maajabu yyte uwanjan
Unaongea nn mkuu... Unamtetea lukaku aliyefanya fyonko unamponda samatta aliyefanya poa...si tunaongelea EPL mkuu mbona unamtetea kupitia national team...au vi-hatrick vyake dhidi ya vitimu kama Finland ndo vinakuwehusha....wabongo sijui tunakwama wapi...
 
Pole nafikiri hujanielewa sijasema samata ni mchezaji mbovu nimekuambia ni mchezaji wa kawaida tu... Labda nikuulize tu samata tangu aanze kucheza nation team yupo na goli ngapi? Bongo hatuna wachezaji bora, tunawachezaji wa kawaida tu
Samatta kazungukwa na wachezaji wa aina gan??....bac tuseme na Messi ni mchezaji wa kawaida...
 
Huyo wa kwanza ni nan...?
Top score wa Jupiler league msimu uliopita ni HAMDI HARBAOUI raia wa Tunisia scored 25 Goals na sio mara ya kwanza Harbaoui kuwa top scorer wa wa Jupiler league hii ni mara yake ya tatu ......SAMATTA HAJAWAHI KUWA TOP SCORER WA LIGI YA BELGIUM NA HATA KUJA KUWA labda hiyo ligi iwe chini ya Sheffih Dauda na Edo Kumwembe.
 
hivi uliliona goli la pili alilowafunga wakenya na hata la kwanza lilitokana na juhudi zake kwa aina ya mfumo waliokuwqa wanacheza taifa stars kajitahidi sana hata kufunga goli moja viungo wetu walishindwa kabisa kumchezesha
 
Timu za EPL haziwezi shindwa na Terms za Genk unless waligundua kuwa wanataka kuibiwa. Hana thamani ya walichokidai.

Nilichogundua Wewe ni hater tu huna ushauri wowote wa kujenga,kuibiwa kwa samatta??!!!
 
Usiongee mambo usiyoyajua kwa kujiamini watu wanakuona mpumbavu.
 
Roho ya unafiki na roho mbaya inaliandama taifa..
 
Samatta kazungukwa na wachezaji wa aina gan??....bac tuseme na Messi ni mchezaji wa kawaida...
Mbongo kwa ubishi! Samatta ni mchezaji wa kawaida. Huwezi kumweka kwenye lile kundi la wachezaji wa kiwango cha juu! Na ndiyo maana bado yupo Ubelgiji mpaka sasa na hajapata timu kwenye zile nchi zenye ligi ngumu na nzuri
 
Tatizo jamaa anajikuta anajua kuliko maelezo, hebu muache atiririke kwanza
Wewe siunajua njoo unichallenge sasa kwa nilicho andika.........Nakushauri tu endelea kuchangia kule kwenye Jukwaa la CELEBRITIES huku sio mahala salama kwako.
 
Na hiyo 'Taifa Staa' kama ilivyopewa jina jipya na kilaza Makonda itaendelea kulawitiwa kadri itavyoshiriki mashindano ya kimataifa as long as Makonda ataendelea kuhudumu serikalini. Amen!
 
Samatta anaweza kucheza ligi yoyote ile hapa duniani acheni chuki. Kutocheza kwake vizuri afcon ni kwa sababu wachezaji anaoshirikiana nao hawana uwezo.
 
Hayo ma- play off ni ya kutafuta tu anayecheza uefa na uropa....mwenzako kabla ya playoff alikuwa anaongoza...mi siyahitaji hayo ma-playoff....ila tuzo ya mchezaji bora wa Africa anayecheza ubelgiji kachukua kwa nn wasimpe huyo mtunisia wenu....ninyi wabongo mna wivu sana na mafanikio ya wenzenu...tengeneza ya kwako na ww ukumbukwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…