Mr Kaptenovela
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 621
- 618
Hili ni swali au?Labda top score wa mbagala market ya kwao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni swali au?Labda top score wa mbagala market ya kwao?
Unaongea nn mkuu... Unamtetea lukaku aliyefanya fyonko unamponda samatta aliyefanya poa...si tunaongelea EPL mkuu mbona unamtetea kupitia national team...au vi-hatrick vyake dhidi ya vitimu kama Finland ndo vinakuwehusha....wabongo sijui tunakwama wapi...Pole mkuu huyo lukaku ni mfungaji bora wa national team... huko uingereza ni hii misimu 2 mambo yake hayajaenda sawa but samata n mchezaji wa kawaida tu mwenye bahati hana maajabu yyte uwanjan
Samatta kazungukwa na wachezaji wa aina gan??....bac tuseme na Messi ni mchezaji wa kawaida...Pole nafikiri hujanielewa sijasema samata ni mchezaji mbovu nimekuambia ni mchezaji wa kawaida tu... Labda nikuulize tu samata tangu aanze kucheza nation team yupo na goli ngapi? Bongo hatuna wachezaji bora, tunawachezaji wa kawaida tu
😂😂😂Na hizo timu za EPL zilizomtaka na zikashindwana Terms na Genk zilikuwa hazijui kuwa bwana mdogo hana kiwango cha kuchezea ligi ya kwao ila we ndio ujue?
Labda akacheze championship,
Giroud,lukakuNitajie streka ambaye angalau samagoal anamfikia pale EPL.. Anza na timu za chini kabisa maana kwa top 10 hakuna hata mmoja
Top score wa Jupiler league msimu uliopita ni HAMDI HARBAOUI raia wa Tunisia scored 25 Goals na sio mara ya kwanza Harbaoui kuwa top scorer wa wa Jupiler league hii ni mara yake ya tatu ......SAMATTA HAJAWAHI KUWA TOP SCORER WA LIGI YA BELGIUM NA HATA KUJA KUWA labda hiyo ligi iwe chini ya Sheffih Dauda na Edo Kumwembe.Huyo wa kwanza ni nan...?
Timu za EPL haziwezi shindwa na Terms za Genk unless waligundua kuwa wanataka kuibiwa. Hana thamani ya walichokidai.
Usiongee mambo usiyoyajua kwa kujiamini watu wanakuona mpumbavu.Top score wa Jupiler league msimu uliopita ni HAMDI HARBAOUI raia wa Tunisia scored 25 Goals na sio mara ya kwanza Harbaoui kuwa top scorer wa wa Jupiler league hii ni mara yake ya tatu ......SAMATTA HAJAWAHI KUWA TOP SCORER WA LIGI YA BELGIUM NA HATA KUJA KUWA labda hiyo ligi iwe chini ya Sheffih Dauda na Edo Kumwembe.
Punguza uongo basi Mkuu, Daaah....Wanyama kacheza hadi fainali UEFA unataka kumfananisha na ujinga gani?
Mbongo kwa ubishi! Samatta ni mchezaji wa kawaida. Huwezi kumweka kwenye lile kundi la wachezaji wa kiwango cha juu! Na ndiyo maana bado yupo Ubelgiji mpaka sasa na hajapata timu kwenye zile nchi zenye ligi ngumu na nzuriSamatta kazungukwa na wachezaji wa aina gan??....bac tuseme na Messi ni mchezaji wa kawaida...
Tatizo jamaa anajikuta anajua kuliko maelezo, hebu muache atiririke kwanzaUsiongee mambo usiyoyajua kwa kujiamini watu wanakuona mpumbavu.
Kiwango cha Samatta ni cha kucheza timu mbili tu: Genk & ccm.
Nipinge kwa Hoja vinginevyo wewe ndio MPUMBAVU na MJINGA wa mwisho.......HahahahahahUsiongee mambo usiyoyajua kwa kujiamini watu wanakuona mpumbavu.
Wewe siunajua njoo unichallenge sasa kwa nilicho andika.........Nakushauri tu endelea kuchangia kule kwenye Jukwaa la CELEBRITIES huku sio mahala salama kwako.Tatizo jamaa anajikuta anajua kuliko maelezo, hebu muache atiririke kwanza
Hayo ma- play off ni ya kutafuta tu anayecheza uefa na uropa....mwenzako kabla ya playoff alikuwa anaongoza...mi siyahitaji hayo ma-playoff....ila tuzo ya mchezaji bora wa Africa anayecheza ubelgiji kachukua kwa nn wasimpe huyo mtunisia wenu....ninyi wabongo mna wivu sana na mafanikio ya wenzenu...tengeneza ya kwako na ww ukumbukwe...Top score wa Jupiler league msimu uliopita ni HAMDI HARBAOUI raia wa Tunisia scored 25 Goals na sio mara ya kwanza Harbaoui kuwa top scorer wa wa Jupiler league hii ni mara yake ya tatu ......SAMATTA HAJAWAHI KUWA TOP SCORER WA LIGI YA BELGIUM NA HATA KUJA KUWA labda hiyo ligi iwe chini ya Sheffih Dauda na Edo Kumwembe.