Samatta hatomaliza misimu miwili ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

Jamaa ulisema kweli watu wakakuwakia kinoma
 
Sumatta hakutakiwa kwa sababu hakuwa mwenzao, wenye kunielewa watanielewa kwenye mpira kuna mambo mengi zaidi ya mpira, mpira ni sehemu mojawapo ambayo inatumika kurecruite kwenye mambo yetu yale, sasa wachezaji mpira wenzako wakikuona sio mwenzao ni ngumu kukupa ushirikiano, Samatta alizike na hapo alipofikia kuliko kujiunga nawo, maana huko hakuna mlango wa kutokea upo mlango wa kuingia tu.
 

Mzee kiona mbali
 
Hakuna mchezaji aliekuwa wa kuandaliwa mpira kama Ronaldo de Lima ila alitoboa vizuri sana!
Humjui R9 vizuri wewe!!! Ronaldo aliyekuwa na uwezo was kupangua backline nzima na kipa juu ama unamzungumzia delima yupi!! Na vijana wengi miaka hiyo tuliipenda Brazil kwa sababu ya uchezaji wa Rinaldo de Lima.
 
Nmecheka sanaa na hii thread
Hivi ndivyo mitume ilkua inatoa habari za Mungu alaf walimwengu wakaona ni uwaki wa grade A[emoji23][emoji23][emoji23]Eti umechambua pumbaa leo hii wanashuhudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…