Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
🤣🤣🤣Amentuma nkuambie ww utapga punyeto mpaka siku unakufa hakuna kuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Amentuma nkuambie ww utapga punyeto mpaka siku unakufa hakuna kuoa
Jamaa ulisema kweli watu wakakuwakia kinomaNajua nitashambuliwa kwasababu watanzania hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.
Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie, inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.
Twende kwenye hoja, ukiangalia Samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakuna kujitengenezea wala kujitafutia.
Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia [emoji1][emoji1]. Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahisi kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania
Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.
Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..
Uyu jamaa ni noma watu walimtukana sana, kuna kitu nimejifunzaWatu bhana!😂😂😂😂😂😂😂
Sumatta hakutakiwa kwa sababu hakuwa mwenzao, wenye kunielewa watanielewa kwenye mpira kuna mambo mengi zaidi ya mpira, mpira ni sehemu mojawapo ambayo inatumika kurecruite kwenye mambo yetu yale, sasa wachezaji mpira wenzako wakikuona sio mwenzao ni ngumu kukupa ushirikiano, Samatta alizike na hapo alipofikia kuliko kujiunga nawo, maana huko hakuna mlango wa kutokea upo mlango wa kuingia tu.Ila Waingereza bana wana vimambo mambo vyao vya ubaguzi
Sasa yule Davis kamzidi nini Samatta? Angalau hata Samatta alifunga magoli mawili lile jamaa halijafunga kabisa afu juzi wameliongezea mkataba au kwasababu ni mtoto wa kwao ndomana wanakaa kimya
Najua nitashambuliwa kwasababu watanzania hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.
Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie, inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.
Twende kwenye hoja, ukiangalia Samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakuna kujitengenezea wala kujitafutia.
Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia [emoji1][emoji1]. Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahisi kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania
Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.
Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..
Akikujibu unishtueUnampa ngapi sasa?
Uache kudandia mambo, hivi deecharity alikosea wapi? Kila siku kupinga maendeleo ya Tanzania oh barabara ya kimara, leo Wakandarasi etc. Una kiherehere tu
[emoji23][emoji23]aibu ndio wanajua hawajuiNdo watz tuache dharau tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine. Ona sasa matokeo yanavyowaumbua watu hapa, wengne wanaekt washaleft jukwaa[emoji1787]
Humjui R9 vizuri wewe!!! Ronaldo aliyekuwa na uwezo was kupangua backline nzima na kipa juu ama unamzungumzia delima yupi!! Na vijana wengi miaka hiyo tuliipenda Brazil kwa sababu ya uchezaji wa Rinaldo de Lima.Hakuna mchezaji aliekuwa wa kuandaliwa mpira kama Ronaldo de Lima ila alitoboa vizuri sana!
Hehe jamaa aliona mbali miezi 6 samata chaliinabidi mumtake radhi mleta mada kwa kweli.
Na hilo ndoo linatuumiza vijana wengi wakibongo ,hawakubali ukweliNdo watz tuache dharau tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine. Ona sasa matokeo yanavyowaumbua watu hapa, wengne wanaekt washaleft jukwaa[emoji1787]
Nakutabiria mwakani unaolewaMleta uzi ni noma aisee🤔, ulijulia wapi??
Nitabirie na mimi basi😀
Ameen, ntaleta ushuhuda hapa😀Nakutabiria mwakani unaolewa
AmeenAmeen, ntaleta ushuhuda hapa😀
Kwa Sasa mwanga Nani? Wewe au mleta uzi.Hakika nakwambia Ukiendelea hivi bado kijana ukizeeka utakuwa Mwanga.!
Kama ni bahati watanzania tupo wangapi mbona hatujabahatika wote.!
Sent using Jamii Forums mobile app