Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 312
Hizo bahati na hamasa tangu 1979 zilikuwa wapi?
Kongole Dr Magufuli
Nilichoona kwa Samata ni mtu wa kuadapt na kila anapoenda anaibuka kuwa star wa team, Genk inatoa wachezaji wengi wazuri wanaokwenda kutesa Ujeruman, Epl, na Serie A.. Kuna akina Trosard pale Genk ila kaibuka mbele yao..Samatta ni bora abaki Genk kuliko kwenda EFL ama EPL akacheze timu itakayoshuka daraja.
Samatta hana kiwango cha kupata namba kwa uhakika EPL ligi ile ni ya nguvu sana na maarifa, Jupiter league ni mdebwedo sana sibezi mafanikio yake ila ndio ukweli mara elfu 10 abaki Genk akacheze UEFA kuliko kwenda Swansea au stoke city kwa sasa asubiri awe mtambo mkubwa.
Alicheza EUROPA na vitimu vya ajabu ajabu akafunga sanaa alipokutana na Fernebahce ndipo akauona mpira wa ulaya ulivyo mara slavia Prague HAHAHAA Samatta ndugu yangu komaa na Genk
Besiktas ni mdebwedo kuliko Fenerbahce japo kwa msimu huu imeyumba.Alivyowatungua Besiktas goli mbili hilo haukuliona?au Besiktas ni timu mdebwedo kuliko Fernebahce?
Pia hiyo mechi na Fernebahce ilichezwa lini na wapi?
Mkuu kubaliana nami Samatta akienda EPL atacheza mechi 5 alafu atakaa nje msimu mzima eidha kwa majeraha au kwa kupata mbadala (akienda msimu ujao)Nilichoona kwa Samata ni mtu wa kuadapt na kila anapoenda anaibuka kuwa star wa team, Genk inatoa wachezaji wengi wazuri wanaokwenda kutesa Ujeruman, Epl, na Serie A.. Kuna akina Trosard pale Genk ila kaibuka mbele yao..
Anaweza kucheza vizuri sana hata EPL na kufunga zaidi ya goli 10.
Samatta ni bora abaki Genk kuliko kwenda EFL ama EPL akacheze timu itakayoshuka daraja.
Samatta hana kiwango cha kupata namba kwa uhakika EPL ligi ile ni ya nguvu sana na maarifa, Jupiter league ni mdebwedo sana sibezi mafanikio yake ila ndio ukweli mara elfu 10 abaki Genk akacheze UEFA kuliko kwenda Swansea au stoke city kwa sasa asubiri awe mtambo mkubwa.
Alicheza EUROPA na vitimu vya ajabu ajabu akafunga sanaa alipokutana na Fernebahce ndipo akauona mpira wa ulaya ulivyo mara slavia Prague HAHAHAA Samatta ndugu yangu komaa na Genk
We ndo mdini! Yaani nyumba ya kwake mwenyewe aliyoipata kwa jasho lake halafu umpangie cha kufanya! We wa wapi wewe?! Basi watu aina yenu unaweza kukuta unachukia mafanikio yake kwa sababu sio mtu wa dini yako! Aibu sana hii!Ana Mashabiki Wengi Nchini, Ila Kwa Kujenga Msikiti Ndani Ya Jumba Lake Ni Udini Mtupu, Bora Ajenge Jumba Jingine Na Ndani Yake Aweke Kanisa Itapendeza Sana Kwa Mashabiki Wake Wasio Waislam
We jamaa lofa kweli! Yaani aache kuonesha mapenzi kwa dini yake kisa ana mashabiki wa dini tofauti? Au unadhani mashabiki wote ni kama wewe ambae kuna kila dalili unashabikia mtu kutokana na imani yake! Halafu ulivyo lofa zaidi; unasisitiza "kwenye mjengo wake!" Sasa hivi huoni hiyo ni mali binafsi? Acha udini mbwiga weweHaipendezi Mtu Mwenye Mashabiki Wengi Kama Yule Kujenga Nyumba Ya Ibada Nyumbani Kwake, Bora Angewajengea Wengine. Ni Mdini, Haifai Kuonesha Kuipenda Dini Yake Ki Vile. Ikitokea Staa Mwenye Imani Ya Kikristo Naye Akajenga Kanisa Ndani Ya Mjengo Wake Atashangaza Wengi, Na Hiyo Haitakuwa Imani Sahihi. Mastaa Wenye Hela Nyingi Kama Wanataka Kujenga Nyumba Za Ibada Ni Bora Wakawajengee Wengine, Tena Wa Imani Zote Kama Wanavyofanya Wanasiasa Wanapotoa Misaada Kwa Wapiga Kura Wao Wa Imani Zote
Nani alitarajia Samatta angekuwa tegemeo alipoenda TP Mazembe?! Tena alienda kule akiwa kijana mdogo sana lakini alichofanya kule, haina haja ya kukirudia!Samatta ni bora abaki Genk kuliko kwenda EFL ama EPL akacheze timu itakayoshuka daraja.
Samatta hana kiwango cha kupata namba kwa uhakika EPL ligi ile ni ya nguvu sana na maarifa, Jupiter league ni mdebwedo sana sibezi mafanikio yake ila ndio ukweli mara elfu 10 abaki Genk akacheze UEFA kuliko kwenda Swansea au stoke city kwa sasa asubiri awe mtambo mkubwa.
Alicheza EUROPA na vitimu vya ajabu ajabu akafunga sanaa alipokutana na Fernebahce ndipo akauona mpira wa ulaya ulivyo mara slavia Prague HAHAHAA Samatta ndugu yangu komaa na Genk
Alicheza EUROPA na vitimu vya ajabu ajabu akafunga sanaa alipokutana na Fernebahce ndipo akauona mpira wa ulaya ulivyo mara slavia Prague HAHAHAA Samatta ndugu yangu komaa na Genk
Kwanza kabisa maelezo yako yanajichanganya na unaandika tu bila research yoyote.Besiktas ni mdebwedo kuliko Fenerbahce japo kwa msimu huu imeyumba.
Mechi ilikuwa 1st season yake alipojiunga na Genk
Povu la nini? Yule ni public figure na wengi wana admire mafanikio yake. Lini amekuwa sheikh kujenga msikiti ndani kwake? Bora angejenga shule au hospitali ili wengi wanufaike na mafanikio yake, hata serikali ingempongeza na kumuunga mkono kwa kufaidika naye kihuduma za elimu au afyaWe jamaa lofa kweli! Yaani aache kuonesha mapenzi kwa dini yake kisa ana mashabiki wa dini tofauti? Au unadhani mashabiki wote ni kama wewe ambae kuna kila dalili unashabikia mtu kutokana na imani yake! Halafu ulivyo lofa zaidi; unasisitiza "kwenye mjengo wake!" Sasa hivi huoni hiyo ni mali binafsi? Acha udini mbwiga wewe
najua hii ni joke usiniambie kuwa upo serious?mi nashauri arudi Simba ipo vyema kwa sasa atatia hamasa ligi yetu na kuibua vipaji vipya
Ana Mashabiki Wengi Nchini, Ila Kwa Kujenga Msikiti Ndani Ya Jumba Lake Ni Udini Mtupu, Bora Ajenge Jumba Jingine Na Ndani Yake Aweke Kanisa Itapendeza Sana Kwa Mashabiki Wake Wasio Waislam
Dah huyu mtu nadhani akitaka kuzaa na wewe huwezi kumkatalia khaah!!Hizo bahati na hamasa tangu 1979 zilikuwa wapi?
Kongole Dr Magufuli