Samatta kwenda Uturuki tumpe Hongera au Pole?

Mawazo ya wadanganyika Mara nyingi wanapenda kuona wenzao wanashindwa , cha kumshauri captain wetu asishughurike na maoni hasi ya wadanganyika alenge target yake maana wengi ni watu wa kukatisha tamaa tu.
Jana alicheza mechi yake ya kwanza kule Fenerbahtce, veepee aliisaidia timu ile? wanajuta kumfahamu?
 
Klabu ni kubwa ina zaidi ya miaka 100, pia kupewa airtime muda ule kwa mgeni akiwa na jezi #. 10 si mchezo, tumuunge mkono.
 
Klabu ni kubwa ina zaidi ya miaka 100, pia kupewa airtime muda ule kwa mgeni akiwa na jezi #. 10 si mchezo, tumuunge mkono.
Tumuombee na kumtia moyo, lakini yeye aache kusoma na kufadhaishwa na ya mitandaoni kuhusu yeye. Mungu wake aliyemfikisha pale alipo atampigania kwa mujibu wa alivyomjalia.
 
Tumuombee na kumtia moyo, lakini yeye aache kusoma na kufadhaishwa na ya mitandaoni kuhusu yeye. Mungu wake aliyemfikisha pale alipo atampigania kwa mujibu wa alivyomjalia.
Yeesss...
 
Pole. Ndoto ilikuwa ni kuchezea premier league na sasa ameionja tu. Kurudia tena, sidhani.
 
Unatoka ulaya ya kikristo unaenda,Ulaya ya kiarabu!kiwango kimeisha,siku si nyingi,utasikia yupo Morocco,Mara paap,Kongo,mwisho bongo nyumbani
 
Unatoka ulaya ya kikristo unaenda,Ulaya ya kiarabu!kiwango kimeisha,siku si nyingi,utasikia yupo Morocco,Mara paap,Kongo,mwisho bongo nyumbani
akirudi bongo moja kwa moja Namungo, maana hawezi kupata namba Simba na Yanga
 
Baada ya kufunga ndoa mwaka jana sasa majibu ya ndoa ndio yanaonekana.
 
napenda kuchukua nafasi kuwapa pole wote wenye chuki na mbwana samatta ikiwemo moderators wa jamii forums ambao mlifuta thread iliyokua inamuhusu samatta na mshahara wake ambayo sikuona negativity yoyote zaidi ya kuwapa motisha vijana wapenda michezo wanaotamani kufikia huko aliko. am really sorry for you all.

Moderator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…