kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
Jana alicheza mechi yake ya kwanza kule Fenerbahtce, veepee aliisaidia timu ile? wanajuta kumfahamu?Mawazo ya wadanganyika Mara nyingi wanapenda kuona wenzao wanashindwa , cha kumshauri captain wetu asishughurike na maoni hasi ya wadanganyika alenge target yake maana wengi ni watu wa kukatisha tamaa tu.