Game ndo imeanza mkuu, saa nne kamili
Mkuu umesema mkono kweli imekua hivyo.Samata hii n aibu Leo unapgwa mkono kirahis tu
Washapigwa 3 kwa 1 kina Samatta na hii ndo mechi kwao ilikuwa na afadhali zaidi ya hapo hatatoka na point yoyote kwa Napoli au Liverpool
Wamejitahidi wamepata moja, hao hawahawahi kushinda mechi yoyote hilo kombe3-0 MPK Sasa na Sammata wenu uzalendo kwanza haya twene kazi mi nahesabu tu