ikersmn
Member
- Mar 21, 2014
- 18
- 16
Kwa namna moja au nyingine najua kuna mamilioni ya watanzania walikua wakingoja mtanange wa Genk ndani ya UEFA CL kumuona champion boy Mbwana Samatta.. Kama miongoni mwa watanzania basi natumia fursa hii kumpongeza champion boy 255 kwa kuipeperusha bendara ya Tanzania vyema, napata faraja sana.. Goodluck samagoal a.k.a captain diego.. #HainaKufeli