Samatta Ndani ya UEFA

Muunganiko wa timu bado itakuwa vizuri tu maneno yetu WA bongo hayo kipindi cha pili sijui itakuaje
 
Ameshakula 5 ht na bado v Liverpool na v Napoli
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ht wamekula mkono,nadhani hadi full time itakuwa10
 
Kwa hiyo maneno aliyosema manara inawekana yana ukweli. Amesema ligi ya ubelgiji ni dhaifu mnoo kwenye Sports AM ya azama tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…