Sambusa za nyama na juice ya matunda

We jamaa ulijifunzia wapi kupika, hongera brother πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Kwa mama angu mkuu
Alikuwa mtu wa tanga nini..
Umenishawishi niingie forum ya mapishi baada ya miaka mingi.

Aliyekushauri utengeneze insta page au youTube channel.. Alikuwa sawa..

Nitakuwa subscriber wa kwanza. Hongera sana mkuu πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Hapana ni mtu wa mbeya sio mtanga
 
Naomba unifanyie delivery kwa bus la kidia one, hapo kesho

Burger kumi,

Pizza tatu,

Makange ya kuku,

Pamoja na smoothie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…