Sambusa za nyama na juice ya matunda

Sambusa za nyama na juice ya matunda

hiyo wine nishaijua inatwa drosty hof bila shaka, mkuu unaumia kichwa wine! na beer nikajua hata ulikunywa makali..😀

Basi wewe ni malaika yani wine unaumwa kichwa!, ngoja nikuache ukikuwa utakuja mwenyewe nilitaka nikuvute!..🤣
Ukinywa nyingi..usipo kunywa maji ya kutosha lazima yakuletee kuumwa na kichwa.. hangover...kutapika..kukosa appetite na kuchukia Sanaa pombeee
Hiyo Hali ilikua inafanya nichukie pombe..
Binafsi mpaka leo nakunywa kidogo for recreational purpose sijawai vuka mipaka yangu kua mlevi sijawai na Sito wai
 
Aaah kwakweli kimuonekano ziko vizuri. Nikisema nzuri nitakuwa nakosea.
Hongera mkuu, maisha ndio hayahaya
 
Back
Top Bottom